List of 7 luxurious hotels owned by Uhuru’s family

Uhuru is a black man. Meanwhile, endeleeni kufirwa na Wahindi na Waarabu.
ndio huyu uhuru 😂😂👇👇👇👇
mtu mmoja anamiliki robo nzima ya nchi alaf wengine muko nairobi kwenye slums ambazo hata nguruwe hawez kuishi👇👇
 
Ahaaa haaa haaa
Hata kuna siku nikawa nawaambia waKenya waliokuwa wanafurahia kilimo cha horticulture na floriculture. Nikawaambia go and lift the veil to see who are owning those horticulture companies.
ni wazungu settlers wanaotumia arable land kupanda maua huku wakiwaacha wakenya kila mwaka na njaa
 
Hawa ni wa asia siyo watanzania.Watanzania ukimilki mali ni fisadi wanasema watu walime wajenge viwanda huku wanakatazwa wasiwe na hekari
aliekwambia hayo maneno nani au umeyatoa kwenye kitabu kipi???

tajiri namba moja africa mashariki na kati anatokea tanzania sasa nshangaa maneno yako hayafanani na ubongo wako😂😂👆👆👆
 
Hiyo list niliyotoa ya wenye nchi wanaoimiliki Tanzania imeuma kweli. Povu tu. Naona akina Geza wamefungua mithread kweli kweli. Heko kwa wahenga, ukweli huuma.😀😀😀
 
Nitaweka wazawa weusi watoto wa mababu zetu, sio kama nyie nchi imemilikiwa na Waarabu ambao mababu zao walikuja na kuwatesa kwenye utumwa wa kila aina.
Anzisha huo uzi asap, watoto wa mababu zenu wamejazana kibera, ilhali tajiri namba moja wlsio mzawa wala raia wa Kenya.
Tunaisubiria hiyo thread


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bhimji Depar Shah - Wikipedia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…