Wamedeclare? Na wanalipw kodi?Kenya president & family anamiliki three quarters ya ardhi yote ya nchi! Nadhani alipaswa kuingia kwenye top five.
ππ Ilibaki kidogo nikutagHuyo mhindi naona anaendelea kuwashikisha, uzuri wa Bongo ukijua kujimix na kugharamikia mambo ya Simba/Yanga unaachiwa ujichukulie hadi uvimbiwe.
Tatizo kwenye ndani ya nchi hautakuta Mtanganyika mweusi ndani ya matajiri kumi bora, huwa mpo mpo bora maisha yaende, huwa mnatia huruma sana, wahindi, wasouth na waarabu wanachuma na kuacha mahandaki matupu.
Vilaza kwa ubora wao, jamaa wanajikaranga wenyewe π π π πHuyo mhindi naona anaendelea kuwashikisha, uzuri wa Bongo ukijua kujimix na kugharamikia mambo ya Simba/Yanga unaachiwa ujichukulie hadi uvimbiwe.
Tatizo kwenye ndani ya nchi hautakuta Mtanganyika mweusi ndani ya matajiri kumi bora, huwa mpo mpo bora maisha yaende, huwa mnatia huruma sana, wahindi, wasouth na waarabu wanachuma na kuacha mahandaki matupu.
Yaani nyie ni mifukara mtu moja amewashika kende nyote, no balance, nyie wajakazi tu na mashabiki wa Yanga na Simba, mengine ni kuzuba zuba tu, yaani mpo mpo tu, watanzania weusi mko wapi? hauoni ni aibu kwa taifa π π π π π π π
Hata nyie Wahindi ndiyo wanadhibiti uchumi wenu.Huyo mhindi naona anaendelea kuwashikisha, uzuri wa Bongo ukijua kujimix na kugharamikia mambo ya Simba/Yanga unaachiwa ujichukulie hadi uvimbiwe.
Tatizo kwenye ndani ya nchi hautakuta Mtanganyika mweusi ndani ya matajiri kumi bora, huwa mpo mpo bora maisha yaende, huwa mnatia huruma sana, wahindi, wasouth na waarabu wanachuma na kuacha mahandaki matupu.
Tzn is the most inclusive Country,tafuta swaga nyingine Mzee wa GDP kubwa ππYaani nyie ni mifukara mtu moja amewashika kende nyote, no balance, nyie wajakazi tu na mashabiki wa Yanga na Simba, mengine ni kuzuba zuba tu, yaani mpo mpo tu, watanzania weusi mko wapi? hauoni ni aibu kwa taifa π π π π π π π
Huyo mweusi inajulikana chanzo cha utajiri wake, dhuluma na wizi wa baba.Hehehe!! List yako hiyo kwenye top five walau kuna mweusi mmoja, nyie hata top 30 wote waarabu na wahindi, alikuwepo Mtanganyika mmoja, marehemu Mengi ila sasa mumeachwa wenyewe kazi yenu kuvishana uchifu mara sijui Hayanga mara sijui nani wa Kichagga....
Most inclusive kwa lipi? ama ni makaratasi ya CCM., yaani nyote mmewekwa ndani ya gunia la ufukara eti inclusive.., angalia maisha yenu pale Dar ilivyo.., hiyo ndio inclusive.., vijijini ufukara uko pia wazi sana.., Tanzania ni ya wakora wa CCM na wanabiashara wanao lisha wanasiasa wa CCM., nyie wengine ni vijakazi tu na wengine mpo mpo tu, la sivyo, just before covid19 lockdown world bank haingewataja kwa sentensi moja na Nigeria, DRC na Ethiopia kama nchi yenye watu wengi mifukara wa kutupwa., hiyo inclusivity iko wapi, ama nyote ni fukara on average? π π π π π π πTzn is the most inclusive Country,tafuta swaga nyingine Mzee wa GDP kubwa ππ
π π π π π π π π Tanzania shida yao itakua ni laana ya ukoo hivi, mababu walikosea mahali π π π π π π πHehehe!! List yako hiyo kwenye top five walau kuna mweusi mmoja, nyie hata top 30 wote waarabu na wahindi, alikuwepo Mtanganyika mmoja, marehemu Mengi ila sasa mumeachwa wenyewe kazi yenu kuvishana uchifu mara sijui Hayanga mara sijui nani wa Kichagga....