Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui maana ya Asians dominate Kenya's rich list au? List nzima hata utake top million bado fact ni Asian dominanceMbona unaogopa kuweka list lenyewe. Weka top 20 richest Kenya na top 20 richest Tanzania tuone nani ametawaliwa.🤣🤣
Nimekuuliza swali moja rahisi. mbona hizi paragraph zote? 🤣🤣🤣Hujui maana ya Asians dominate Kenya's rich list au? List nzima hata utake top million bado fact ni Asian dominance
Kwanza unga wote wa ugali mnaokula Kenya nzima ni hao Asians wanaowauzia
Kwa economists yeyote akishajua your staple food business who's control the whole thing tayari anapata picture.
Muarabu akitaka kuiua Kenya yote ni dakika 0 tu.
Unajichekesha chekesha kama demu na ma emoji yako.Nimekuuliza swali moja rahisi. mbona hizi paragraph zote? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umechunguza na kulinganisha na hiyo list yako ama bado unakurupuka? Naona unajitia hamnazo, wakenya kwa wingi na Hela zao pale ni zaidi ya hao wahindi wenu na pia hakuna aliye below a million dollar hapo, nyie mtu anawekeza thousands alafu ni top 20, nyambaff😂😂😂😂.,mko chini sana kiburi wacha nyenyekea😂😂😂😂Kumbe wapo ila pesa zao ndogo?
Wakiona ukweli wanatafuta vijisababu, hawezi jibu ashaona list vile inamuumbua😂😂😂., The idiots don't do research, wanakurupukaga tu ki maziwa lala😂😂😂Nimekuuliza swali moja rahisi. mbona hizi paragraph zote? 🤣🤣🤣
AISEEE APA KWELI MMETUPIGA NA KITU KIZITO DAAAH[emoji53][emoji53]Yaani nyie ni mifukara mtu moja amewashika kende nyote, no balance, nyie wajakazi tu na mashabiki wa Yanga na Simba, mengine ni kuzuba zuba tu, yaani mpo mpo tu, watanzania weusi mko wapi? hauoni ni aibu kwa taifa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1787][emoji1787]Uhuru Kenyatta land pekee Bila other properties inaworth more than $5B
But juu Ni mwanasiasa forbs haimtambui
Excuse ya kijinga sana hiiUhuru Kenyatta land pekee Bila other properties inaworth more than $5B
But juu Ni mwanasiasa forbs haimtambui
Hapo Kenya Kuna Mweusi anayechuma vya halali? Mathare, Kibera slums..Huyo mhindi naona anaendelea kuwashikisha, uzuri wa Bongo ukijua kujimix na kugharamikia mambo ya Simba/Yanga unaachiwa ujichukulie hadi uvimbiwe.
Tatizo kwenye ndani ya nchi hautakuta Mtanganyika mweusi ndani ya matajiri kumi bora, huwa mpo mpo bora maisha yaende, huwa mnatia huruma sana, wahindi, wasouth na waarabu wanachuma na kuacha mahandaki matupu.