List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Labda kama definition ya shujaa imebadilika...



ha ha haaa kwel mkuu inawezekana definition imebadilika coz n shidaa... yaan jamaa bado anatuaminisha kwa aliyoyafanya babu slaa 2007 ha ha haaa hata lyatonga alifanya makubwa lkn hawez jiita shujaa itakua huyu babu. ZZK is another level sasa subili mwembe yanga
 
Hilo liko wazi Big! Nani asiyelijua hilo. Akina kangi hawa ooh nitasoma wauza madawa ya kulevya,kumbe mikwara tu.

C ndo hapo watu wanafikiri mikwara inatenda eti!!
Unajua wala rushwa sikuzote hutumia mbinu hiyo kumfanya mhusika awapelekee pesa ili wasimtaje
 
Dr. Slaa ana uhakika na anachokisema. Hawezi kuongea uongo hata siku moja.
 
Slaa ni raia mwema tu wa Tz anapewa sifa za bure hakuna la maana alichofanya kwenye nchi hii labda huko kanisani ndo anafahamika kwa uchotwaji wa fedha
 
Prove it beyond a reasonable doubt. Na kwa magamba itaaminika ivo.
Slaa ni raia mwema tu wa Tz anapewa sifa za bure hakuna la maana alichofanya kwenye nchi hii labda huko kanisani ndo anafahamika kwa uchotwaji wa fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…