List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

Niseme kweli kwa dhati ya moyo wangu mpaka sasa hakuna Mwanasiasa wa kumfikia Dr. Slaa Tanzania.
Alichoharibu no kuanza na Uchungaji kanisani. Vinginevyo dhamira zetu zingekuwa safi kuuelezea uadulifu wake....... Rejea historia iliyotukuka ya uadilifu wake.
 
Sitaiamini listi atakayotaja kaka yangu katika imani, Zitto Kabwe kwa kuwa alimtuhumu Mwandosya, akajibiwa na yeye mwenyewe kuingia kumsafi.
Vile vile Membe naye alimtuhumu kwa Ufisadi wa mkopo wa Jamahiriyya Libya... Amejibiwa. Nayo ameridhika na majibu.

Hiyo inaonesha tuhuma zake hazina uzito wala ushahidi bali ni kutafuta umaarufu tu! Kwa kujibizana na marafiki zake.
 
Ni kweli ni shujaa anauwezo wa kufuta madawa ya kulevya.hawa wengine uwezo huo hawana.
 
Kama alishindwa kutaja hayo majina akiwa na kinga ya bunge ataweza sasa??huyo hana jipya...
 
Rais wa mioyo ya watu hawezi fananishwa na huyo kijana wa mwandinga.Slaa atabakia kuwa shujaa mpaka october atakapokabidhiwa nchi
 
Ata Mrema tulikuwa tunasema hivi hivi, Dr Slaa kabakiza miaka mwili-mitatu, baada ya hapo atakuwa anaonekana kituko tu kama Mrema.Subiri uchaguzi uishe utaona kwa macho na kusikia kwa masikio.

Muhimu ili asifulie kama alivyokuwa amefulia Mrema ni muhimu sana hii nafasi ya Ukatibu Mkuu wa wasimtoe, aendelee kupewa mshahara mzuri.
 
Rais wa mioyo ya watu hawezi fananishwa na huyo kijana wa mwandinga.Slaa atabakia kuwa shujaa mpaka october atakapokabidhiwa nchi
Dunia nzima itatushangaa Slaa akiwa rais! Hana sifa hata moja ya kuwa rais
 
atakua kama boss wake aliwaita watu arusha uwanja wa abed karume eti atawataja walio usika na EPP na Richmond kufika kumbe tulikwenda kumuangalia msukuma akishuka kwenye chopa....hata huyu hana jipya anataka apate nyomi tu.
 
Mimi nilidhani ni issue ya kitaifa kumbe ni mipasho kati ya pipa na mfuniko.
 
The best Hon Dr Slaa bila juhudi zake nchi hii ingebaki skeleton tu , Mungu mlinde huyu mtu .
 
Dunia nzima itatushangaa Slaa akiwa rais! Hana sifa hata moja ya kuwa rais

hii ndio post iliyotia aibu zaidi kwa mwezi wa july , hongera ! haifahamiki wazazi wako wanajisikiaje wanaposoma maandiko yako , bila shaka watajutia kukusomesha wewe na kuwaacha kaka zako .
 
Rais wa mioyo ya watu hawezi fananishwa na huyo kijana wa mwandinga.Slaa atabakia kuwa shujaa mpaka october atakapokabidhiwa nchi

Zito alikuwa anajibizana na marafiki zake serikalini na bungeni ili kutuzubaisha tuamini ni mpinzani wa kweli kumbe ni mwenzao. Ndiyo maana hana hata kesi moja mahakamani wala hajapigwa bomu la machozi kama viongozi wote wa kweli wa upinani.Tunwogope sana!
 
kweli bangi uliyovuta leo ni kali kuliko maelezo na inaonekana imekuchanganya kweli kweli. Zitto hawaachi mkalala usingizi..... kutwa kucha mnamwaza kuliko mnavyowawaza waume zenu.
na bado atawatesa sana huyo jamaa. kila kukicha lazima mje na tungo kuhusu Zitto. yes! kwa sababu anawafikirishi na sio vinginevyo. mlifikiri mmemzika lakini imekuwa kinyume chake. mlifikiri zitto ni mpaka awe ndani ya chadema lakini mmeprove failure. na bado, huo ni moshi tu moto waja.
Nikukumbushe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…