List of Students Selected to Join undergraduate Programmes 2012-2013 UDOM

WALE WA UDOM TAARIFA NI KWAMBA, JOINING INSTRUCTION ITAPATIKANA KUPITIA WEBSITE YA CHUO CHETU YAANI The University of Dodoma, HIVYO NI VYEMA KUITEMBELEA MARA KWA MARA, PIA KUNA UTARATIBU UNAANDALIWA WA KUFIKIA CHUO MOJA KWA MOJA NA KUNA MABASI YATAWEZA KUTANGAZWA AMBAYO YATAFIKA MPAKA CHUO, PIA UKITAKA KULALA HOTEL PIA ZIPO THOUGH HOSTEL ZA KUMWAGA.

MY TAKE. KAMA NI KUANZA KUWEKA HELA KWENYE KIBUBU MUDA NDO HUU.
 

Hiyo kazi ya joining instructions I hope soon wataweka,
Mme check Students By Laws hubu zipitieni kidogo
 
:A S 465:ka vp mxababishe na za mzumbe,ifm,ardhi,sua.& udiii.....!!!!!!!:israel:gdtym###
 
Wadogo wsijali UDOM iko poa tu kwa kozi zote ila mshindwe nyie tu. Msiache kutembelea website ya UDOM kujua nini kinaendelea. Website hiyo ni The University of Dodoma. WELCOME THE UNIVERSITY OF DODOMA ,tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…