List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

List: Wachezaji 10 Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda Wote!

Kwa kukujuza Zaid hao ureno wakikutana na Chile watapigwa si chini ya 3 ila kama ni wajerumani basi wajiandae na lundo la magoli kama Brazil
Chile ipi ya sanchez sio yupo fonte atamreplace pepe anaetumikia adhabu na hiyo german yako ndio hiyo ya akina emre can ? are you serious brother? nakuhakikishia labda chile watasumbua kidogo kwa kufungwa 2 lkn hawa germany 3-0 zinawasubiri kama vp tumia hii kwenye mkeka kk.
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Mkuu naona 'common sense' kwako imekuwa tatizo kidogo.
Umeamua kuleta kigezo cha kombe la dunia alafu unamuweka Franz Beckenbauer nyuma ya CR7!!
In short ni kwamba "Franz Beckenbauer" yupo juu ya CR7 daima. Acha u-FANBOY
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
huo ukwel jamaa kaweka ushabk tu ila facts hana, ww huna kombe la dunia unakaaje front line
 
1. Mbwana Samata – (2011 to ….) Mbagala, African Lyon, Simba, Mazembe, Genk, National Team

2. Kasim Manara – (1974 to 1985) Yanga, Pan, Austria, National team

3. Jella Mtagwa – (1974 to 1984) Yanga, Pan, National team

4. Zamoyoni Mogella (1981 to 1994) Tumbaku, Simba, Arabuni, Yanga, National team

5. Omari Mahadhi (1972 to 1982) African Sport, Simba, National team

6. Sunday Manara (1971 to 1983) Yanga, Pan, Holland, USA, National team

7. Abdallah Kibaden (1970 to 1981) Simba, Majimaji, National team

8. Athumani Mambosasa (1973 to 1983) Simba, Yanga(kidogo sana), National team

9. Peter Tino (1976 to 1984) African Sport, Pan, National team

10. Mohamed Salim (1976 to 1982) Coastal Union, Arabuni, National team
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Hiyo sasa kwa akili zako za kibashite. Ulitarajia ww sio ndivyo ilivyo.Worldcup ndio nini? Sasa CR7 amebeba world cup ip? Bangi sio mchicha asee[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu wa soka

Nani kasema Cr7 kachukua kombe la dunia.? Nilisema kombe la dunia ameenda mbali. Nilitaka kurelate kwenye kombe la bara lake walau hapo ndio anaweza kuingia top 5.
Hiyo ni kwa mujibu wa kanuni zipi? Au unapiga ramli?
 
Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa

1.Lionel Messi
8ya3ZNY9lmn_ilFl6oSGC0MoqWAmiEwsfPwmpRi8Kso=w576-h389-no

2.Pele
pele%2Bgreatest%2Bsoccer%2Bplayer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg

3.Diego Maradona.

Diego%2BMaradona%2Bgreatest%2Bfootballer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg

4.Zinedine Zidane

sd2_x7fASOOmDlPbRuvAWLTvFWzD-gMpD0S-_ypdZ7A=w666-h354-no

5.Franz BackenBauer

zOPXqG4IPEAqtvxRp1bAMYGD91flJWU0vW-rVjxezWY=w679-h389-no

6.Cristiano Ronaldo

zXq2e35EvJKapibkM5jlguaTV-u0Mw_caDFaFDg-fCw=w710-h389-no

7.Alfredo Di Stefano

PYeRbd1EOiOikyOqk1_4VR5Ae41ixf_TCRYpA2NytSI=w526-h362-no

8.Xavi Hernandez

RsqLjFu2hQyKDXrghvCpGGo-_wglhzzWnzGWRygOWdo=w785-h391-no

9. Johan Cruyff

Johan%2BCruyff.jpg

10. Michel Platini
michel%2Bplatini%2Bgreatest%2Bfootballer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg
Mkuu acha ushabiki,
 
Nadhani Pele na Cruffy ungewaondoa hapo maana wao ni kama founders wa maujanja wanayofanya hao kina mess na ronaldo kifupi ndio true legend wa soka na beck pamoja na di stefano
 
Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu

Umewahi kumuona akicheza hata mechi moja?
 
Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa

1.Lionel Messi
8ya3ZNY9lmn_ilFl6oSGC0MoqWAmiEwsfPwmpRi8Kso=w576-h389-no

2.Pele
pele%2Bgreatest%2Bsoccer%2Bplayer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg

3.Diego Maradona.

Diego%2BMaradona%2Bgreatest%2Bfootballer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg

4.Zinedine Zidane

sd2_x7fASOOmDlPbRuvAWLTvFWzD-gMpD0S-_ypdZ7A=w666-h354-no

5.Franz BackenBauer

zOPXqG4IPEAqtvxRp1bAMYGD91flJWU0vW-rVjxezWY=w679-h389-no

6.Cristiano Ronaldo

zXq2e35EvJKapibkM5jlguaTV-u0Mw_caDFaFDg-fCw=w710-h389-no

7.Alfredo Di Stefano

PYeRbd1EOiOikyOqk1_4VR5Ae41ixf_TCRYpA2NytSI=w526-h362-no

8.Xavi Hernandez

RsqLjFu2hQyKDXrghvCpGGo-_wglhzzWnzGWRygOWdo=w785-h391-no

9. Johan Cruyff

Johan%2BCruyff.jpg

10. Michel Platini
michel%2Bplatini%2Bgreatest%2Bfootballer%2Bof%2Ball%2Btimes.jpg
Ukitaka Messi awe namba moja awe ameshinda makombe matatu ya dunia au zaidi, vinginevyo usiishushe heshima ya Pele. Eusebio hapo kwenye list mbona hayupo, utataja vipi wachezaji bora umwache huyo
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Nafasi ya 3 muweke De lima maana kabeba kombe la dunia mara mbili, aje Gaucho ya nne. CR7 hana hata kombe la dunia
 
Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Ila Ronaldo hawez kuwa juu ya mess never ever ila sema Ronaldinho hajawekwa
 
Back
Top Bottom