Chile ipi ya sanchez sio yupo fonte atamreplace pepe anaetumikia adhabu na hiyo german yako ndio hiyo ya akina emre can ? are you serious brother? nakuhakikishia labda chile watasumbua kidogo kwa kufungwa 2 lkn hawa germany 3-0 zinawasubiri kama vp tumia hii kwenye mkeka kk.Kwa kukujuza Zaid hao ureno wakikutana na Chile watapigwa si chini ya 3 ila kama ni wajerumani basi wajiandae na lundo la magoli kama Brazil
Mkuu naona 'common sense' kwako imekuwa tatizo kidogo.Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
huo ukwel jamaa kaweka ushabk tu ila facts hana, ww huna kombe la dunia unakaaje front lineNamba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Hiyo sasa kwa akili zako za kibashite. Ulitarajia ww sio ndivyo ilivyo.Worldcup ndio nini? Sasa CR7 amebeba world cup ip? Bangi sio mchicha asee[emoji1] [emoji1] [emoji1]Namba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Hiyo ni kwa mujibu wa kanuni zipi? Au unapiga ramli?Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu wa soka
Nani kasema Cr7 kachukua kombe la dunia.? Nilisema kombe la dunia ameenda mbali. Nilitaka kurelate kwenye kombe la bara lake walau hapo ndio anaweza kuingia top 5.
Mkuu acha ushabiki,Natumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa
1.Lionel Messi
2.Pele
3.Diego Maradona.
4.Zinedine Zidane
5.Franz BackenBauer
6.Cristiano Ronaldo
7.Alfredo Di Stefano
8.Xavi Hernandez
9. Johan Cruyff
10. Michel Platini
Hahaha,[emoji109] [emoji109]Nahisi ulikuwa hujaota hata meno kama gaucho kwako ni wa kawaida, aseiii pole
Hawezi kumjua[emoji109]Mtoa mada unamjua nabii Gaucho?
Wa kwanza ni PELE huyu ndio mpaka sasa bado hajazaliwa katika macho yetu. Hakuna mtu kama huyu jamaa kwenye ulimwengu
Angalia Avatar yakeet Messi namba moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
haya ni Mahaba
Ukitaka Messi awe namba moja awe ameshinda makombe matatu ya dunia au zaidi, vinginevyo usiishushe heshima ya Pele. Eusebio hapo kwenye list mbona hayupo, utataja vipi wachezaji bora umwache huyoNatumai Mu wazima Ndugu zangu Basi wikiendi Hii Nimeamua kuwaletea Karibu List ya wachezaji kumi Bora wa Mpira wa Miguu wa Muda wote Ni kuanzia wa kwanza Mpaka wa Kumi.
source: Click Hapa
1.Lionel Messi
2.Pele
3.Diego Maradona.
4.Zinedine Zidane
5.Franz BackenBauer
6.Cristiano Ronaldo
7.Alfredo Di Stefano
8.Xavi Hernandez
9. Johan Cruyff
10. Michel Platini
Nafasi ya 3 muweke De lima maana kabeba kombe la dunia mara mbili, aje Gaucho ya nne. CR7 hana hata kombe la duniaNamba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Ila Ronaldo hawez kuwa juu ya mess never ever ila sema Ronaldinho hajawekwaNamba 1 hata world cup hajabeba? wewe ni ZERO km anavyoitamka Magu nilitarajia kuona 1.PELLE, 2.MARADONA 3.CR 7 4.RONALDINHO 5.DE LIMA 6.MESSI 7.ZIDANE 8 DE STEFANO 9.FRANK BERCKENBOUG NA10. OLIVER KAHN.
Kweli kabisa
Hahaaa... Kweli mzee baba. Basi at least muweke #10Nilitaka Kujaribu Kufikiri lakini Hapa Umezungumza Kishabiki!