Mkuu hamna cha ajabu mesi alichokifanya. Yaan kwa miaka zaidi ya 28 hajabeba kombe la Nara lake wala kombe la dunia anaingiaje kwenye list hiyo?, hapo ndio nakosa imani na walioandaa list hiyo
Pia mtu kama ronaldinho anakosaje hapo?
Kijana wangu Pionaire Niliitazama Hii post juu juu kumbe ni weewe rafiki yangu...Hahahahaaa Nimechekaa naona leo umekubali kumweka LEO10 mbele ya CR7! Pongezi sana Mkuu!
RONALDO DE LIMA: Ataja Kikosi chake cha Wachezaji 11 Bora wa muda wote.Mkuu umehit some point hapo...kwenye hiyo list Messi kuanza si vyema naona labda Huyo mwandishi wa hiyo habari kwenye link ile ana mahaba binafsi na messi...mimi namkubali messi kwa zile dribble zake but hili lilishafanywa ata na maradona akiwa Napoli akuna jipya...na kama ishu ni goals kwenye hiyo list CR7 ndo goals machine yao hivyo sitegemei messi kuwa kwenye top-5 labda anaweza kuwa kwenye 5-10....tofauti na hapo sidhani kama kuna usawa.
Mkuu wewe ni Kipenzi cha CR7 tu ila kiuhalisia ambao huezi tuambiaa sisi unakubali kwamba Messi is More than CR7Hahaha!...sivyo hivyo ulivyoelewa wewe...kilichofanya messi aanze hapo mbele ya Cr7 ni KWAMBA UKIANGALIA KATI YA HAO WACHEZAJI WA KWENYE HIYO LIST WENGI WAMESHASTAAFU SOCCER ILA LEO10 NA CR7 NDO BADO WAPO ACTIVE LAKINI IPO WAZI KUWA RONALDO NOWDAYS AMEKUWA COMPLETE GOAL SCORER NA KUNA VITU BAADHI AMEACHA KUFANYA KAMA ZAMANI NAFIKIRI NI SWALA LA AGE LINAANZA KUMSUMBUA KULINGANISHA NA MWENZIE INGAWA NA MESSI NAE AMEDROP SIO KAMA WA 2009/2010/2011...BINAFSI ILI MCHEZAJI NIMWITE WA SAYARI NYINGINE NAPENDA AWE NA DRIBBLES KAMA ZA MESSI ALAFU AWE NA SCORING ABILITIES KAMA ZA RONALDO...Huyo kwangu ndo "Nitamwita Sio Wa dunia hii"...Na kiuhalisia bado sijaona mchezaji mwenye vyote hivyo kwa pamoja.
Sensitive Kweli Nafikiri Tuirekebishe tumtoe Xavi!
List ya TFF hii,kuna watu hapo km dinyo, hawaonekani kvp
Hawezi kutoka. Kwa sababu keshaonyeaha uimara wake katika game. Huwezi kufananisha na huyo dogo.
sasa CR7 si atatoka kwenye top ten!
Wewe umemaliza kila kitu. Hakuna cha kuongezea hapo.Mkuu umehit some point hapo...kwenye hiyo list Messi kuanza si vyema naona labda Huyo mwandishi wa hiyo habari kwenye link ile ana mahaba binafsi na messi...mimi namkubali messi kwa zile dribble zake but hili lilishafanywa ata na maradona akiwa Napoli akuna jipya...na kama ishu ni goals kwenye hiyo list CR7 ndo goals machine yao hivyo sitegemei messi kuwa kwenye top-5 labda anaweza kuwa kwenye 5-10....tofauti na hapo sidhani kama kuna usawa.
Hadi sasa kombe la mabara Mmoroko ana goli 2 moja ni la penat SASA KIPI CHA KUSHANGAZA wakati alipokutana na miamba ya Ki Mexico alishindwa kufurukuta
Hivi watu hamjui tu pele alikua mbovu acheni tu msilishwe maneno ya kale,,maradona mwenyewe kamzidi pele pakubwa sana,,
Unamuachaje RONALDO LUIS NAZARIO DE LIMA eti kwenye list yupo cr7 xavi aiseee ni kumkosea heshima jamaa ana 3 balon d'or copa america winner world cup winner golden boot 2002 Korea and Japan duuuh
Nadhani Pele na Cruffy ungewaondoa hapo maana wao ni kama founders wa maujanja wanayofanya hao kina mess na ronaldo kifupi ndio true legend wa soka na beck pamoja na di stefano
Yani Mkuu najaribu kufikiria ATOKE NANI KWENYE LIST ALIYOLETA MTOA MADA...KWA MAANA KUNA WAKALI KIBAO BADO WAMEACHWA NJE UNAMKUMBUKA "MARCO VAN BASTEN" MOJA YA KIZAZI CHA DHAHABU KABISA KATIKA HISTORIA YA SOCCER KUTOKEA UHOLANZI NAFIKIRI HUYU NDO NUMBER ONE ICONIC OF NETHERLAND(UHOLANZI).
View attachment 530414
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mm sijaona la ajabu alilomvulia kofia ARGENTINA HATUTUMII KILEVI CHA PENATLabda hujamuelewa Jamaa alichosema...maradona kavua kofia kwa CR7, Jaribu kuelewa kijana.
View attachment 530390
View attachment 530394
Messi anaingia vipi kwa PELE? Yan hata robo haingii..
Messi anaingia vipi kwa PELE? Yan hata robo haingii..
Wapi sammata