List ya baadhi ya Wabunge ambao hawarudi Bunge lijalo

List ya baadhi ya Wabunge ambao hawarudi Bunge lijalo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
IMG_5677.jpeg

Chama Cha Mapinduzi leo Julai 29, 2025 kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali. Baadhi ya wagombea ambao walikuwa wabunge majina yao hayajapitishwa na chama hicho ni pamoja na:-

1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini
2. Stephen Byabato- Bukoba Mjini
3. Ndaisaba Ruhoro - Ngara
4. Mohamed Monni - Chemba
5. Christopher Sendeka- Simanjiro
6. Lugaha Mpina- Kisesa
7. January Makamba - Bumbuli
8. Godwin Kunambi – Mlimba
9. .Justin Nyamoga - Kilolo
10. Shanif Mansoor- Kwimba
11. Idi Kassim Idi - Msalala
12. Pauline Gekul- Babati Mjini
13. Zubery Kuchauka -Liwale
14. Emmanuel Ole Shangai- Ngorongoro
15. Angelina Mabula -Ilemela
16. Idd Mpakate- Tunduru Kusini
17. Hasani Kungu - Tunduru Kaskazini
18. Vedastus Mathayo- Musoma Mjini
19. Goerge Mwenisongole - Mbozi
20.Nicodemas Maganga -Mbogwe
21 Twaha Mpembenwe - Kibiti
22.Shabani Shekilindi-Lushoto
23. Innocent Kalogeres - Morogoro kusini
24. Flatey Maasay - Mbulu vijijini
25. Alfred Kimea Korogwe Mjini
26. Taufiq Turkey- Mpendae

Jina lipi hukutarajia kuliona kwenye orodha ya ambao hawatarejea bungeni?
 
Kidume hapo namba 6. Luhaga Mpina, jina limekatwa lakini alionyesha msimamo wake kuliko hao wengine walikuwa kimya na kujipendekeza ila wameliwa kichwa
 
View attachment 3423600

Chama Cha Mapinduzi leo Julai 29, 2025 kimetangaza Wanachama wake waliopitishwa kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali. Baadhi ya wagombea ambao walikuwa wabunge majina yao hayajapitishwa na chama hicho ni pamoja na:-

1. Mrisho Gambo - Arusha Mjini

2. Stephen Byabato- Bukoba Mjini

3. Ndaisaba Ruhoro - Ngara

4. Mohamed Monni - Chemba

5. Christopher Sendeka- Simanjiro

6. Lugaha Mpina- Kisesa

7. January Makamba - Bumbuli

8. Godwin Kunambi – Mlimba

9. .Justin Nyamoga - Kilolo

10. Shanif Mansoor- Kwimba

11. Idi Kassim Idi - Msalala

12. Pauline Gekul- Babati Mjini

13. Zubery Kuchauka -Liwale

14. Emmanuel Ole Shangai- Ngorongoro

15. Angelina Mabula -Ilemela

16. Idd Mpakate- Tunduru Kusini

17. Hasani Kungu - Tunduru Kaskazini

18. Vedastus Mathayo- Musoma Mjini

19. Goerge Mwenisongole - Mbozi

20.Nicodemas Maganga -Mbogwe

21 Twaha Mpembenwe - Kibiti

22.Shabani Shekilindi-Lushoto

23. Innocent Kalogeres - Morogoro kusini

24. Flatey Maasay - Mbulu vijijini

25. Alfred Kimea Korogwe Mjini

26. Taufiq Turkey- Mpendae

Jina lipi hukutarajia kuliona kwenye orodha ya ambao hawatarejea bungeni? #Clouds DigitalUpdates
Bado kuna wengine wajumbe watawala vichwa na hamtaamini
 
Byabato clip ya nape ndio ilimmaliza
 
CHAUMMA inawahusu
 
Hii ya makamba kuna mchezo unachezwa...

Kuna watu atawaingiza mkenge wakimwamini...
 
Ingekuwa siyo ujinga wa chadema kujitoa kwenye uchaguzi hayo majimbo ya kushinda kirahisi kabisa kama kupigana na mlevi.
No reform No erection is full of sh!t
 
Back
Top Bottom