Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hoja. Mbona msanii wenu mkubwa hana hata endorsement moja?Wanajitekenyenya suala la dodo kuwa #1 trending kwa siku ya 12 linawasumbua wanakuja kupoza maumivu kwa vipost ushuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeondoa ushabiki mavi ungeeleweka vizurUkiondoa fikra zako hii thread utaielewa, huko uzaniapo me sipo
UKIWA NA MANAGEMENT NZURI NA UNAJITAMBUA UTAPATA SANA DILI HIZI
YULE WA KUJIONA HAJIELEWI NDO MANA WATU WANAMPIGA CHINI
Hapendi show offAlikiba MO [emoji91]mbona simuoni [emoji16][emoji16][emoji848][emoji848]
😁😁😁😁😂Hapendi show off
hahahahhaha sawaHapo pa diamond ongezea na DSTV enzi hizo,kuna kipindi hicho DIAMOND KARANGA,Kuna ROIKO mchuzi miX kuna TURKISH AIRWAYS nk.
Halafu hapo katika suala la endorsements
Kuna main official ambassador na mawakala
Wengi hapo ni mawakala tu,wanaishia kuposti huduma za kampuni kupitia social media zao,ila wanakuwa hawapokwenye jingles na posters za matangazo ya kampuni.
Ni wachache ambao face zao zinatumika directly kama kina joti, diamond na wengine wachache.
And the winner is Diamond platinumz.
halafu pamoja na hayo bado unakuta kakuchapa maisha,umaarufu,na kuaminiwa na watu.UKIWA NA MANAGEMENT NZURI NA UNAJITAMBUA UTAPATA SANA DILI HIZI
YULE WA KUJIONA HAJIELEWI NDO MANA WATU WANAMPIGA CHINI
Inawezekana mkuu ndio maana anadaiwa na producer pamoja na kukaa na label ambayo haina MIKATABA ya kueleweka kwa wasaniihalafu pamoja na hayo bado unakuta kakuchapa maisha,umaarufu,na kuaminiwa na watu.
na bado kawazidi kipato asiliamia 99 ya wote waliiorodheshwa hapo.maisha ni kuishi sio kuigiza bro.
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawaHapo pa diamond ongezea na DSTV enzi hizo,kuna kipindi hicho DIAMOND KARANGA,Kuna ROIKO mchuzi miX kuna TURKISH AIRWAYS nk.
Halafu hapo katika suala la endorsements
Kuna main official ambassador na mawakala
Wengi hapo ni mawakala tu,wanaishia kuposti huduma za kampuni kupitia social media zao,ila wanakuwa hawapokwenye jingles na posters za matangazo ya kampuni.
Ni wachache ambao face zao zinatumika directly kama kina joti, diamond na wengine wachache.
And the winner is Diamond platinumz.
kutokudaiwa sio kigezo cha kuyaweza maisha,na kinyume chake.Inawezekana mkuu ndio maana anadaiwa na producer pamoja na kukaa na label ambayo haina MIKATABA ya kueleweka kwa wasanii