kuwa poor inategemea na mkataba umesign vipi,Hamisa mobetto dstv?Darling hair?
Kuna watu hapo nimeona mikataba brand kubwa but still wako very poor why?
Mzee Majuto Hadi matibabu ilikuwa shida..
Watu wa Kati wanapiga sana?
DStv nimeona kama Paula kajala now au??
Yupi mkuu?UKIWA NA MANAGEMENT NZURI NA UNAJITAMBUA UTAPATA SANA DILI HIZI
YULE WA KUJIONA HAJIELEWI NDO MANA WATU WANAMPIGA CHINI
kiboko kivipi..?Vanessa ni kiboko kweny nasuala ya ubalozi, mamaaaa rotimiiiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni kiboko ya utamuVanessa ni kiboko kweny nasuala ya ubalozi, mamaaaa rotimiiiiiiiih
Sent using Jamii Forums mobile app
pia Vannesa-AirtelHamisa mobetto dstv?Darling hair?
Kuna watu hapo nimeona mikataba brand kubwa but still wako very poor why?
Mzee Majuto Hadi matibabu ilikuwa shida..
Watu wa Kati wanapiga sana?
DStv nimeona kama Paula kajala now au??
sawa sawaHapo kwa harmonize ongezea ubalozi wa resolution insurance na Crdb bank sawa mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ninogeshe bc
mweh nimuite dada ya corona afanye yake?
Mmmmmh taratibuuuuh namuogopa miee huyo hatareeeehmweh nimuite dada ya corona afanye yake?
Hiyo avatar yako je nikikuhonga Nyumba ya urithi ntakuwa nimekosea??