Mada kama hizi Mwasibu wetu mashuhuri OKW BOBAN SUNZU huwa anazipita kimya kimya. Yaani kama hazioni vile.Kwa Mjibu wa @optaanalyst hii ndio Orodha ya Vilabu vilivyofanya vyema Barani Afrika kwa Mwaka 2023.
Klabu yako inashika nafasi ya ngapi [emoji116]
1. Mamelodi sundown
2. Al ahly
3. Raja Casablanca
4 wydad Casablanca
5 Far Rabat
6. Pyramids
7 Yanga
8. Petro de Luanda
9. Fus Rabat
10 Fr Belouzidad
[emoji116][emoji116]
16. Simba sc
#FutbalPlanetUpdates
NB Je Chama lako namba ngapi???View attachment 2835909
AMEN AMEN AMEN5...1 wydad Casablanca atashinda
Nahisi wewe utakuwa ni Manara maan huwa unakomaa na Simba sio poa 😀 enewei kesho Topolo ndo Wanaaga mashindano rasmi sasa umejiandaaje kisaikolojia kulipokea hilo.Andaa zako na ww [emoji23]