List ya best performed teams mwaka 2023 timu Yako ni no ngap?

Hao namba 10 unawafahamu?
 
Sasa hapo mmepata tuzo gani...vyura bana...
 
Yanga kwasababu wanaongoza kundi lao walitakiwa wawe namba 5 hapo juu.
 
Unakuja na vi source vyako vya uchwara...USm Alger waliowakanda wako wapi?.kama ni 2023
 
Na ukitaka kujua ni source uchwara ya utopwox angalia hapo why wasionyeshe timu kuanzia ya 11 wakapoint ya 16...upuuzi mtupu
 
Kaangalie rank ya CAF acha kujifariji ninyi utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…