List ya club zilizopeleka wachezaji wengi AFCON 2024

Yanga haina wachezaji nane wala simba sita.

Yanga anao 4 na Simba pia 4.
Yanga wana
Metacha Mnata
Dickson Job
Nondo Mwamnyeto
Bacca
Mudathir Yahaya
Diara
Ki Stephan Aziz
Kennedy Musonda
Jumla wanakuwa nane
 
Ukichukulia kigezo cha kupima ubora wa ligi kwa wachezaji kuitwa kwenye mataifa haya unaweza ukahitimisha kwa kusema Afrika hakuna ligi bora.
Wale jamaa wako mbali sana wachezaji wao wengi wanatokea vilabu vya Ulaya.
 
Walikua wako vizuri sasa


Shida yetu sisi inataka kuelekeana na wasauzi ligi kubwa sana ila wachezaji wa ndani wenye uwezo hamna
Au uingereza ya kipindi kile.....ligi Kali .... national team butu
 
Hapo kwa SIMBA toa watakao kaa benchi, wanabaki wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…