List ya club zilizopeleka wachezaji wengi AFCON 2024

List ya club zilizopeleka wachezaji wengi AFCON 2024

Yanga haina wachezaji nane wala simba sita.

Yanga anao 4 na Simba pia 4.
Yanga wana
Metacha Mnata
Dickson Job
Nondo Mwamnyeto
Bacca
Mudathir Yahaya
Diara
Ki Stephan Aziz
Kennedy Musonda
Jumla wanakuwa nane
 
Honestly kupeleka wachezaji wengi sio shida shida ni wanacheza timu gani huko taifani mwao?

Mfano mtu anaenda kucheza zambia sasa zambia kweli?

Labda ghana , nigeria , mali , ivory coast aitwe mtu ndo tunachukulia uzito kiwango cha ligi kitaonekana kimepanda
Ukichukulia kigezo cha kupima ubora wa ligi kwa wachezaji kuitwa kwenye mataifa haya unaweza ukahitimisha kwa kusema Afrika hakuna ligi bora.
Wale jamaa wako mbali sana wachezaji wao wengi wanatokea vilabu vya Ulaya.
 
Walikua wako vizuri sasa


Shida yetu sisi inataka kuelekeana na wasauzi ligi kubwa sana ila wachezaji wa ndani wenye uwezo hamna
Au uingereza ya kipindi kile.....ligi Kali .... national team butu
 
[emoji599]_| Klabu za Afrika ambazo zimepeleka wachezaji wengi AFCON 2023/ 2024

1. Mamelodi [emoji1221] - 11
2. Al Ahly [emoji1093] - 10
3. Pyramids [emoji1093] - 9
4. Yanga SC [emoji1241] - 8
5. Simba SC [emoji1241] - 6
6. Orlando Pirates [emoji1221] - 6
7. TP Mazembe [emoji1078] - 4
8. Nouadhibou [emoji1163] - 4
9. Zamalek [emoji1093] - 3

#Dibahvansports

Je: bado tuendelee kuidharau Ligue yetu ....Kwa Simba na Yanga ....jumla tumetoa players 14
Hapo kwa SIMBA toa watakao kaa benchi, wanabaki wangapi?
 
Back
Top Bottom