List ya majina 266 ya Papa wa Kanisa Katoliki na mahali walipozaliwa

Petro hajawahi kuwa pope
 
Petro hajawahi kuwa pope
Kwa kumpa heshima yake nimemtaja kwa cheo hicho kwani ndio kiongozi wa kwanza wa kanisa( ninaweza nikawa sipo sahihi pia) hata hivyo katika list yote hiyo hujaliona jina lake zaidi ya chomekeo la maelezo ya mwanzo.
 
Tunzania tuna watatifu wawili..
  1. Nyerere
  2. Sis.Bernadeter (?)
Ukisubiria wakutangazie utakesha, watakatifu wengi wanatoka Rome. Mungu huchukua kilichopondeka na kukifanya kipya.. dhambi zote zile za warumi ila ndio akachagua kua makao yake
 
Tunzania tuna watatifu wawili..
  1. Nyerere
  2. Sis.Bernadeter (?)
Ukisubiria wakutangazie utakesha, watakatifu wengi wanatoka Rome. Mungu huchukua kilichopondeka na kukifanya kipya.. dhambi zote zile za warumi ila ndio akachagua kua makao yake
Sista Bernadeta anatoka wapi kimkoa?
 
Tunzania tuna watatifu wawili..
  1. Nyerere
  2. Sis.Bernadeter (?)
Ukisubiria wakutangazie utakesha, watakatifu wengi wanatoka Rome. Mungu huchukua kilichopondeka na kukifanya kipya.. dhambi zote zile za warumi ila ndio akachagua kua makao yake

Nimecheka....hata ivyo nilisikia jina la mwl.nyerere lilipelekwa huko ila sijaskia majibu kurudi!!!!!!!
 
Kwa kweli sijui sababu hata mimi
Koffi Annan, mbona iko wazi? Italy ndipo kanisa Katoliki lilipojikita kabla ya kuanza kuenea sehemu nyingine za dunia. Tatizo tunailinganisha dunia ya, say, 221 AD na dunia ya leo 2021 AD ambapo unaweza kufanya michakato ya kwenda Argentina muda huu na ndani ya wiki moja ukawa Buenos Aires! Ni dunia mbili tofauti kabisa - mbingu na ardhi! Sasa hivi unaweza kupiga direct call ukaongea na jamaa yako Canada ukiwa chumbani kwako; enzi zile?

Miundombinu ya enzi zile sio ya leo tukumbuke! How long would take someone to travel from Rome hadi Buenos Aires (nchi isiyojulikana) enzi hizo? The Americas "ilivumbuliwa" na nani? Lini? Afrika nayo "ilivumbuliwa" na nani lini? How difficult could it be to cross the Sahara to the South of the desert? Na ukikoswakoswa kuuliwa na kiu na nyoka wakali wa jangwani, simba wa porini na cheetah wa misitu ya Congo wanakusubiri; potelea mbali mvua na baridi kali. Ukitaka kufanya test, wala usitembee, panda gari wakushushe hapo getini Mikumi National Park halafu giza likianza cross Mikumi kwa miguu upate japo picha japo utasaidiwa na taa za magari, na simu yako mkononi unaweza kuendelea kuwasiliana na wapendwa wako.

Umesikia habari za "wavumbuzi" akina Christopher Columbus? Vasco da Gama? Ni wa miaka ya hivi karibuni, karne ya 16/17. Na ukishavumbua, kanisa halikui ghafla kama kulipua kombora; it takes decades if not centuries kuwapata wachungaji na watawa wa kutosha sembuse askofu.

Haikuwa kazi rahisi tukumbuke; were long and dangerous journeys; na wengi waliishia baharini na majangwani kupeleka "Habari Njema" kwa mataifa. Ukristo Tanzania ndio kwanza umeadhimisha miaka 150 (mia hamsini) ya uwepo wake halafu utegemee Tanzania iwe imetoa Papa? How? Itachukua vizazi kwa vizazi kufikia huko. Mkatoliki Sky Eclat anaweza kutia nyama zaidi. Tusichukulie haya mambo kama ku-Google!
 
Dola ya warumi....ilisambaratika ila bado ipo na ina nguvu duniani.
 
umeandika reason nzuri sana
 
Kwanini majina yanakuwa na namba
Ingenoga kama ungeweka na miaka yao ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…