Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Hii imejumuisha wanamuziki, waigizaji watangazaji nk. Naona Tanzania huku ndio tunakojivunia
Nigeria na Tanzania ina mastaa wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram barani Afrika.
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Bongo5 na kupata mastaa 20 wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo, Tanzania ina mastaa 9 kwenye orodha hiyo na Nigeria ina mastaa 7.
Orodha hiyo haijawajumuisha mastaa wa Afrika wanaoishi nje ya bara hilo akiwemo Akon na Lupita Nyongo na badala yake imejumuisha wale ambao shughuli zao wanazifanyia hapa hapa Afrika.
Hii ndio orodha ya mastaa 20 wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram (idadi ya followers ni kwa mujibu wa June 8, 2015.
1. davidoofficial 811k (Nigeria)
2. wizkidayo 751k (Nigeria)
3. diamondplatnumz 711k (Tanzania)
4. wemasepetu 652k (Tanzania)
5. DONjazzy 568k (Nigeria)
6. Genevievennaji 561k (Nigeria)
7. @ynonnenelsongh 519k (Ghana)
8. Millardayo 514k (Tanzania)
9. Iceprincezamani 509k (Nigeria)
10. officialtiwasavage 484k (Nigeria)
11. vanessamdee 473k (Tanzania)
12. jokatemwegelo 470k (Tanzania)
13. @wolperstylish 464k (Tanzania)
14. zarithebosslady 443k (Uganda)
15. minniedlamini 426k (South Africa)
16. NEW_kajala 424k (Tanzania)
17. bonang_m 416k (South Africa)
18. Shilolekiuno 417k (Tanzania)
19. ommydimpoz 410k (Tanzania)
20. peterpsquare 402k (Nigeria)