List ya mastaa 20 wanaoongoza kuwa na followers wengi instagram

List ya mastaa 20 wanaoongoza kuwa na followers wengi instagram

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Hii imejumuisha wanamuziki, waigizaji watangazaji nk. Naona Tanzania huku ndio tunakojivunia

Nigeria na Tanzania ina mastaa wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram barani Afrika.



Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Bongo5 na kupata mastaa 20 wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo, Tanzania ina mastaa 9 kwenye orodha hiyo na Nigeria ina mastaa 7.

Orodha hiyo haijawajumuisha mastaa wa Afrika wanaoishi nje ya bara hilo akiwemo Akon na Lupita Nyong’o na badala yake imejumuisha wale ambao shughuli zao wanazifanyia hapa hapa Afrika.

Hii ndio orodha ya mastaa 20 wenye followers wengi zaidi kwenye mtandao wa Instagram (idadi ya followers ni kwa mujibu wa June 8, 2015.

1. davidoofficial – 811k (Nigeria)



2. wizkidayo – 751k (Nigeria)




3. diamondplatnumz – 711k (Tanzania)



4. wemasepetu – 652k (Tanzania)

5. DONjazzy – 568k (Nigeria)

6. Genevievennaji – 561k (Nigeria)

7. @ynonnenelsongh – 519k (Ghana)

8. Millardayo – 514k (Tanzania)

9. Iceprincezamani – 509k (Nigeria)

10. officialtiwasavage – 484k (Nigeria)

11. vanessamdee – 473k (Tanzania)

12. jokatemwegelo – 470k (Tanzania)

13. @wolperstylish – 464k (Tanzania)

14. zarithebosslady – 443k (Uganda)

15. minniedlamini – 426k (South Africa)

16. NEW_kajala – 424k (Tanzania)

17. bonang_m – 416k (South Africa)

18. Shilolekiuno – 417k (Tanzania)

19. ommydimpoz – 410k (Tanzania)

20. peterpsquare – 402k (Nigeria)

 
me huyu ndo staa wangu mwafrika anayeishi nje ya afrika.
 

Attachments

  • 1433755663328.jpg
    1433755663328.jpg
    57.9 KB · Views: 1,484
Bongo diamond ndo anaongoza.
Mamtoni nahisi Kevin Hurt anafollowers wengi Kama 10m.

Yaani MTU unatafuta ugongewe likes 200 mwenzako anagongewa likes zaidi ya 600,000
 
Nilichogundua watanzania wengi sana wanajihusisha na masuala ya mitandao. Na speed ya followers inavyoongezeka kwa diamond usishangae by July akatop hiyo list.
 
Anything diamond touch turn to gold" kweli Mondi noma sana. Cheki Wema and Zari kwenye list ya to20 African most popular ppl on instagram" Kiba angeomba Collabo kwa Dai angekuwepo apo
 
Bongo diamond ndo anaongoza.
Mamtoni nahisi Kevin Hurt anafollowers wengi Kama 10m.

Yaani MTU unatafuta ugongewe likes 200 mwenzako anagongewa likes zaidi ya 600,000

Nadhani justin beiber na rihana wamefikisha followers zaid ya 20M
 
Elizabeth Michael (Lulu) nae alikua na followers wengi akilingana na Wema kabla hajajitoa instagram
 
Bongo diamond ndo anaongoza.
Mamtoni nahisi Kevin Hurt anafollowers wengi Kama 10m.

Yaani MTU unatafuta ugongewe likes 200 mwenzako anagongewa likes zaidi ya 600,000


Ronaldo anafollower zaidi ya Mil 20
 
Wabongo tunapenda sana umbea ndo maana mastaa wetu wanafollowers wengi Insta kuliko hata mastaa wengi wakubwa wa Naigeria

Magazeti ya bongo wanachukua habari za masta Insta na Facebook au kilichopostiwa twitter ungetegemea nini
 
Magazeti ya bongo wanachukua habari za masta Insta na Facebook au kilichopostiwa twitter ungetegemea nini

Yaani kwakweli Insta ndo imekuwa mbadala wa magazeti ya udaku hapa bongo, inashangaza kuona watu dizaini ya Wema Sepetu wanawagape mbali wakina PSquare wakati Wema anajulikana hasa Tanzania na kidogo Kenya n Uganda, wakati wakina PSquare wanajulikana Africa nzima.

Hiyo yote sababu ni wabongo kupenda umbea sana na kuuza sura, Insta imekaa kimbeambea hivyo wabongo wengi wamekimbia Facebook n Twitter na kukimbilia Insta, ndio maana wasanii wetu wanaonekana wakiwa powerful sana Insta kuliko mitandao mingine kama Twitter/ Facebook.

Wabongo wengi wakiingia mtandaoni wanataka kujua kwenye IG page ya Wema Sepetu kuna umbea gani, leo kavaa nini, kagombana na nani?kwa Shilole je kinaendelea nini kati yake na Nuh Mziwanda, kapigwa hajapigwa? Mara sijui Team Wema, wengine Team Kajala, yaani sie wabongo bana. Mi nilishangaa kipindi mahusiano ya Diamond na Zari yameanza nilichungulia page ya Zari nikaona ina followers kama 20,000 tu

but baada ya miezi kadhaa kafikia followers 400,000 + yaani hiyo yote mbongo kutaka kujua nini kinaendelea kati ya Zari na Diamond. Wabongo kwa umbea tumebarikiwa aisee, yaani tumemfanya Zari kuwa star mwenye followers wengi kuliko mastaa wote Uganda
 
Yaani kwakweli Insta ndo imekuwa mbadala wa magazeti ya udaku hapa bongo, inashangaza kuona watu dizaini ya Wema Sepetu wanawagape mbali wakina PSquare wakati Wema anajulikana hasa Tanzania na kidogo Kenya n Uganda, wakati wakina PSquare wanajulikana Africa nzima. Hiyo yote sababu ni wabongo kupenda umbea sana na kuuza sura, Insta imekaa kimbeambea hivyo wabongo wengi wamekimbia Facebook n Twitter na kukimbilia Insta, ndio maana wasanii wetu wanaonekana wakiwa powerful sana Insta kuliko mitandao mingine kama Twitter/ Facebook. Wabongo wengi wakiingia mtandaoni wanataka kujua kwenye IG page ya Wema Sepetu kuna umbea gani, leo kavaa nini, kagombana na nani?kwa Shilole je kinaendelea nini kati yake na Nuh Mziwanda, kapigwa hajapigwa? Mara sijui Team Wema, wengine Team Kajala, yaani sie wabongo bana. Mi nilishangaa kipindi mahusiano ya Diamond na Zari yameanza nilichungulia page ya Zari nikaona ina followers kama 20,000 tu but baada ya miezi kadhaa kafikia followers 400,000 + yaani hiyo yote mbongo kutaka kujua nini kinaendelea kati ya Zari na Diamond. Wabongo kwa umbea tumebarikiwa aisee, yaani tumemfanya Zari kuwa star mwenye followers wengi kuliko mastaa wote Uganda

Ustar wetu wa kibongo sometimes wa kiajabu,mtu anaweza kuwa star Insta akawa popular pote,mfano mi huddah sijawahi kujua bongo anafanya nini,kadinda,petiti wakuache lakini ndo masta sasa hivi
 
Ustar wetu wa kibongo sometimes wa kiajabu,mtu anaweza kuwa star Insta akawa popular pote,mfano mi huddah sijawahi kujua bongo anafanya nini,kadinda,petiti wakuache lakini ndo masta sasa hivi
huddah ni mkenya, malaya anaonyesha nyuchi insta. Niliwahi kumuandikia comment ya kumponda sana baada ya kuweka picha ya ajabu ajabu alivyokuja bongo kwny show ya white party akaniblock. Hao wengine ni mashoga zake Wema Sepetu so kawafanya nao kuwa macelebu
 
Siku hizi kujua kukoje kwa zaidi nchi zingine Africa wanachukua data za instagram, twitter na facebook.

Nitafurahi nikiona ya hivi wafanye ya TZ warushe

Social media ndio kumekucha, kama fan hayupo instagram badi kwa twitter anaweza kuwepo au fb au kote.
 
Maboso

Samahani mkuu.

Hii ni kwa ajili ya wasanii au watu wote africa??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom