Umefanya jioni yangu ya leo kuwa nzuri sana,umenichekesha sana mkuu.Mrisho Ngassa ana 24m anafuatiwa na Makongoro Nyerere ana 16m
Zari ni star wa nn??. Au biashara? BASI mmewasahau kina mengi km zari nae yumo.
Inasaidia nini hasa hii kitu? Mimi phone book yangu nadelete namba nahitaji kuwa na namba chache zenye maana kwangu. Haya mamboo ya Insta ni upuuzi mtupu.
Kusema ukweli Inst ndiyo mtandao ulionishinda kutumia bora hata fb! Twitter nimejiunga tangu 2011 hadi sasa hvi na follow 25 tu na nilisha itupilia mbali! nimebaki na jf na whatsapp na phonebook yangu ina majina 25tu ya watu wanaojitambua!
me huyu ndo staa wangu mwafrika anayeishi nje ya afrika.
Elizabeth Michael (Lulu) nae alikua na followers wengi akilingana na Wema kabla hajajitoa instagram
Anatumia jina gani?Elizabeth yupo IG alibadili jina tu na kujiweka private
Phone book ina majina 25 tu mkuu unafanya kazi wapi? Hata ndugu huna au unajifurahisha hapa????
Ivi kwani nini faida ya kuwa na followers wengi.? Unapendwa sana au? Maana naonaga watu wanabembeleza watu fuwa follow kw as anayejua faida yake plz
+Kuwa na followers wengi inategemea na lengo la mtu, wengine uhitaji kua ma followers wengi kwa sababu za kibiashara na wengine ni kwa ajili ya prestige tu!
+faida ya kua na followers wengi kibiashara ni kwamba utapata opportunity ya kuitangaza biashara yako ikajulikana na watu wengi. Au kama wewe binafsi hauna biashara unaweza ukapokea matangazo kutoka kwa wafanyabiashara wengine.
+lakini dau la kulipia matangazo linategemea idadi ya followers ulionao na umaarufu ulionao.
+so social networks siku hizi ni deal sana kama unajua kucheza nazo, hasa insta.
Oww asante sana mkuu maana nilikuwa sielewi.
Nina follower 8000 ila sion faida yake zaidi naenjoy kwa niliowa follow