List ya mastaa 20 wanaoongoza kuwa na followers wengi instagram

Inasaidia nini hasa hii kitu? Mimi phone book yangu nadelete namba nahitaji kuwa na namba chache zenye maana kwangu. Haya mamboo ya Insta ni upuuzi mtupu.
 
Zari ni star wa nn??. Au biashara? BASI mmewasahau kina mengi km zari nae yumo.
 
Inasaidia nini hasa hii kitu? Mimi phone book yangu nadelete namba nahitaji kuwa na namba chache zenye maana kwangu. Haya mamboo ya Insta ni upuuzi mtupu.

Kusema ukweli Inst ndiyo mtandao ulionishinda kutumia bora hata fb! Twitter nimejiunga tangu 2011 hadi sasa hvi na follow 25 tu na nilisha itupilia mbali! nimebaki na jf na whatsapp na phonebook yangu ina majina 25tu ya watu wanaojitambua!
 
Phone book ina majina 25 tu mkuu unafanya kazi wapi? Hata ndugu huna au unajifurahisha hapa????
 
me huyu ndo staa wangu mwafrika anayeishi nje ya afrika.

Hao followers alionao drogba, Lil wayne aliwapata siku moja tu baada yakufungua account.
uone tofauti.
 
Ivi kwani nini faida ya kuwa na followers wengi.? Unapendwa sana au? Maana naonaga watu wanabembeleza watu fuwa follow kw as anayejua faida yake plz
 
Phone book ina majina 25 tu mkuu unafanya kazi wapi? Hata ndugu huna au unajifurahisha hapa????

Mkuu ndugu zangu ni niliozaliwa nao tumbo moja baba mmoja na mama mmoja basi sitaki wanafiki na kati ya dada zangu na kaka zangu wenye simu ni wa 4 + mama tu! hutaki unaacha! na fb na friend elfu 5+
 
Ivi kwani nini faida ya kuwa na followers wengi.? Unapendwa sana au? Maana naonaga watu wanabembeleza watu fuwa follow kw as anayejua faida yake plz

+Kuwa na followers wengi inategemea na lengo la mtu, wengine uhitaji kua ma followers wengi kwa sababu za kibiashara na wengine ni kwa ajili ya prestige tu!

+faida ya kua na followers wengi kibiashara ni kwamba utapata opportunity ya kuitangaza biashara yako ikajulikana na watu wengi. Au kama wewe binafsi hauna biashara unaweza ukapokea matangazo kutoka kwa wafanyabiashara wengine.

+lakini dau la kulipia matangazo linategemea idadi ya followers ulionao na umaarufu ulionao.

+so social networks siku hizi ni deal sana kama unajua kucheza nazo, hasa insta.
 
Oww asante sana mkuu maana nilikuwa sielewi.
Nina follower 8000 ila sion faida yake zaidi naenjoy kwa niliowa follow
 
IG chaka la uwendawazimu kwa kweli unaweza kuta mtu na M1 followers ila kuna mijitu ina account 5 na yote ina follow mtu mmoja kama hapa kwetu mpaka napata mashaka na majority ya IG members ni ngumu kuona mitazamo chanya ni matusi na upuuzi,kama sikosei Biber kamzidi followers MywetherJr teheeee tehee.
Alafu kansa ya IG imeingia JF kuna jamaa nliwahi kuona kaandika "mtu akimponda msanii wetu niiteni nimkomeshe" duh kisa yeye timu zao hizo soon umu ndani patachimbika.
 
Oww asante sana mkuu maana nilikuwa sielewi.
Nina follower 8000 ila sion faida yake zaidi naenjoy kwa niliowa follow

Buku 8 wanatosha kupiga hela kama una biashara changamkia fursa hiyo kujitangaza. Nipe link nikufolo niwe wa 8001, 😀😛 nakutania
 
Back
Top Bottom