Eeeh ww shindwaaaaaaaa ujakutana bado na sampuli za Kigoma kweli na si wazamiaji lazima utakuja kuanzisha Uzi wa Kigoma sirudi.Kigoma kuna pisi kali mno mno mno, muangalie vzr Jaqueline Ntuyabaliwe (K Lyn)
Simjui
Sijamsikia! π
Nitakuja asubuhi na mapemaSijamsikia! π
Kesho aje studio nihakikishe kama kweli ana pure Soprano ama ndio na yeye ana Alto-bass! π
Nisha-switch microphone π€. Haya nataka nisikie hiyo sauti. πAache kusikiliza story za vijiweni
Mbona ghafla πNisha-switch microphone π€. Haya nataka nisikie hiyo sauti. π
πππ nadhani sauti unaipata vizuri!
Si unaona sasa! πMbona ghafla π
Si umesema kesho au