List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

Ile ya series ya NARCOS pia yamoto
Ni Kali Sana unaitwa tuyo umeimbwa na Rodrigo Amarante.huu wimbo ndio ringtone yangu sijawahi kuona Kama huu.ukifatiwa na wa pirates of carebean na Lord of the rings
 
Blood Diamond..kitu kinaenda kwa jina la London kutoka kwa Newton Howard.
 
A thousand years (Christina Perri)-Twilight Saga

Sound of silence-movie ya watchmen,Bobby etc
 
Ipo moja ya movie inaitwa Platoon ni ya 1986 ni kali kweli kweli,nimeshindwa kuipandisha hapa kama uwezekano upo mmoja ailete or najaribu nikiweza mtaiona.
 
Ile ya delta force ni nomaa..haswa pale anapofanya maajabu na pikipiki ilee kile kisound track kinasindikiza vizuri sana
pikipiki hiyo
 
Ipo moja ya movie inaitwa Platoon ni ya 1986 ni kali kweli kweli,nimeshindwa kuipandisha hapa kama uwezekano upo mmoja ailete or najaribu nikiweza mtaiona.
The lost platoon au?
 
The lost platoon au?
Hapana mkuu!!!

Hii hapa
Screenshot_2020-08-12-18-27-07-868_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
 
Kupitia The Great Gatsby chini ya Baz Luhrmann x Gotye - “Heart's A Mess”

Pia Florence kwa ushirika na The Machine kupitia The Great Gatsby ikapatikana - “Over The Love”

The Bryan Ferry Orchestra wakitayarisha muziki na Emeli Sande akitia sauti katika - “Crazy In Love” ndani ya The Great Gatsby.

Baz Luhrmann akitayarisha kwa ushirika na Jack White - “Love Is Blindness” moja ya mapigo ya rock x country ndani ya The Great Gatsby.

Bryan Ferry x The Bryan Ferry Orchestra ndani ya The Great Gatsby wakateremsha - “Love Is The Drug”

Luhrmann akaendeleza mtiririko wa mapigo ya kukata na shoka kwa ushirika na The XX wakaweka - “Together”, hii Soundtrack imechukua tuzo katika mataifa ya Uswissi, Uswidi, Brasil, Japan, Australia, Uingereza, Denmark, Ujerumani kwa uchache

Nero chini ya OST ndani ya The Great Gatsby ikapatikana - “Into The Past” moja ya muziki wa kielektroniki uliochukua DJ Mag Awards

Katika filamu ya Shurbi Pencere mwanadada Hande Yener akaweka “Pencere” yenye maana ya Dirisha kwa Kituruki ikitayarishwa vyema na Umit Küzer na Altan Çetin

Altan Çetin na Umit Küzer wakitayarishwa “Kus” sauti yake Hande Yener ikasimamia filamu ya Otrugu Yambas

De La Ghetto, Daddy Yankee, Ozuna na Chris Jeday kupitia Fast 7 (Fast & Furious) wakaweka - “La Formula” iliyotayarishwa na Chris Jeday, Gaby Music, Dimelo V na De La Ghetto

Pitbull x J Balvin na Camila Cabello - “Hey Ma!” Kupitia Fast & Furious ikitayarishwa na Pharrell Williams na Sky Rompiendo

Kupitia filamu ya Downtown, mwanadada Anitta na J Balvin - “Downtown” ikitayarishwa na Sky Rompiendo na Pharrell Williams.

Hey! Nafaka Hans Zimmer ananifollow [emoji4]
Hii ni google translator au chinese translator?
 
Back
Top Bottom