List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

Ile ya series ya NARCOS pia yamoto
Ni Kali Sana unaitwa tuyo umeimbwa na Rodrigo Amarante.huu wimbo ndio ringtone yangu sijawahi kuona Kama huu.ukifatiwa na wa pirates of carebean na Lord of the rings
 
Blood Diamond..kitu kinaenda kwa jina la London kutoka kwa Newton Howard.
 
A thousand years (Christina Perri)-Twilight Saga

Sound of silence-movie ya watchmen,Bobby etc
 
Ipo moja ya movie inaitwa Platoon ni ya 1986 ni kali kweli kweli,nimeshindwa kuipandisha hapa kama uwezekano upo mmoja ailete or najaribu nikiweza mtaiona.
 
Ungekosa Titanic ningeshangaa aisee
 
Ile ya delta force ni nomaa..haswa pale anapofanya maajabu na pikipiki ilee kile kisound track kinasindikiza vizuri sana
pikipiki hiyo
Your browser is not able to display this video.
 
Ipo moja ya movie inaitwa Platoon ni ya 1986 ni kali kweli kweli,nimeshindwa kuipandisha hapa kama uwezekano upo mmoja ailete or najaribu nikiweza mtaiona.
The lost platoon au?
 
Hii ni google translator au chinese translator?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…