List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

Kama cinephile hamna kitu ninachokipenda kama soundtrack na anayenikosha zaidi ni Hans Zimmer. Kuna
Time-Inception
Theme song ya Interstellar (zote 2 by Zimmer)
Ukizisikiliza hizi unaweza kujihisi una levitate.
Hata wa korea wako vizuri kwenye soundtracks na hiyo uliyotaja ya Jumong ni moja kati ya vitu ukivisikiliza unalia mwenye usijue kilicho kuliza.
 
The great wall
Kuna kigoma kizuri sana wanapovamiwa na mdudu
Natafta niweke ringtone
 
haya sikiliza kwa makini, hizi tatu ndio compositions kali zaidi kwangu kwenye filamu:
1. The Imperial March - Star wars
2. He's a pirate - Pirates of the Caribbean
3. Game Of thrones main title - Game of thrones

Kama bonus naweka background music kwenye drama ya kikorea ya " The world of the married " wimbo unaitwa Finale mtunzi ni Park Mi Sun
 
High strung
3 idiots - give some sunshine
 
Interstellar-S.T.A.Y
huyu Hans zimmer ni genius kwakweli hiyo theme song inaingia mpaka ndani ya moyo na kuzunguka kwenye mwili pamoja na damu,
Kule youtube in views kama sio mill80 basi 50.
 
Napenda nyingi sana ila hizi ndio the best kwangu

Kwa upande wa series ni GOT na Money Heist

Yaani ile opening theme song ya GOT ilikua ikianza tu mwanzoni mwili mzima unanisisimka nadhani kwasababu niliipenda sana ile series

Money Heist naipenda sana Bella Ciao haswa Le professor na Berlin walivyoiimba kwa hisia......ilikua poa

Kwa upande wa movies kwenye Titanic lile song jamaa walikua wanapiga zumari wakati meli inazama ilikua soo emotionally

Mwisho wa yote ni masongi mawili kwenye cartoon ya COCO,
Un poco loco pamoja na el mundo es me lefamilia nazielewa sana aliimba yule dogo
 
Bella Ciao | Le Professor ikitayarishwa vyema na mtayarishaji, mtunzi na dj wa kimataifa raia wa Ufaransa, DJ namba 7 Katika tuzo za jarida la DJ Mag ' HUGEL ' au ' Hugel Thug '.
 
Series theme song zangu ni
- Nirvana in fire [emoji91]
- The prince legend (Jumong) Bongo movie wameitumia sana hii [emoji91]
- Do yi [emoji91]
- When the wind blow (Nirvana in fire) [emoji119] all time ndio namba moja muda wote kwangu
- Journey of the flower [emoji91]

Movie ni
- Avengement (Scott Adkins)
Alafu kuna hizi za kitoko lakini watu wazima tumo - Moana na Frozen 2 kwangu.
 
SET IT OFF! Queen latifa anapojaribu kujitoa muhanga! Aisee “AGAINST THE WIND” lori perri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…