List Ya Movie Sound track Kali ambacho zinaishi

Hamna aliyetaja Soundtrack ya Supernatural “Carry on my wayward son” hii series nimeangalia niko shule mpaka nkamaliza chuo kitu ni 15 seasons toka 2005 mpaka 2020...the shit was gold sijapata kitu kingine even close

 
Daa hii soundtrack ya kwenye slumdog millionaire them unaweza ukatoa chozi
 
Angalia ya point break ya Mwaka 1990
 
Ni set if off ya mwaka 1996 Queen latifa alipomalizwa
 
Soundtrack ya Kickboxing yake jean Claude vandame, na yule master wake wa kichina kule kijijini, movie nzima masoundtrack ya ukweli
 
Hapo kwenye,
Troy,
Gladiator,
300 BC
300 empire.
Brave heart,, ni hatari sana.
 
Kwangu movie sound track bora kabisa ni American ninja part 1.

Michael Dudikof.

34 years ago lakini bado nalisikia masikioni mwangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…