List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

List ya nchi za kusini mwa jangwa la Sahara zenye zinazoogoza kwa kuwa na Diaspora matajiri huko Marekani

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Wakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list
kabisa.

Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio 😅🤣😂

FB_IMG_1738514900504.jpg
 
Hiyo Eastern Africa hapo unahakika hatujajumlishiwa humo. Na Kenya kwanini hawajawekwa ndani ya Eastern Africa! source ya data inaweza kuwa ya uongo
Maana yake wa Kenya ni wengi na wana ukwasi wa kutosha ndio maana

wakasimama pekee yao. Kwa hiyo hiyo Eastern Africa ndio nchi nyingine kama
Tanzania, Uganda, Rwanda lakini bado kwa umoja wao hajaifikia Kenya
 
Watanzania wachoyo hawakupi connection wanahis wakikupa utawapita maendeleo
Connection ya kwanza ilitakiwa ipatikane kwa wazazi, ndugu zako waliokuzunguka , ukiona wao wamefeli usishangae wengine kufeli kukupatia.
 
Connection ya kwanza ilitakiwa ipatikane kwa wazazi, ndugu zako waliokuzunguka , ukiona wao wamefeli usishangae wengine kufeli kukupatia.
Sio wote mkuu wazazi wao wapo na vyeo au walikuwa na connection wengine wao wanataka kufungua njia kwenye familia zao
 
Back
Top Bottom