Hakuna mtu mwenye roho mbaya kama Mtanzania aisee. Hata hapa tu unaweza kuona. Watu wamefurahi balaa kwa vile Watanzania hawajatajwa kuwa wanafanya vizuri kiuchumi huko US kuliko pengine Wakenya au Waafrika Kusini. Hata kwenye ule uzi wa illegal immigrants wa Kitanzania kuwa deported watu walikuwa wamefurahi balaa utafikiri hao wenzao wakiwa deported kurudi nyumbani wao inawasaidia kwa cho chote. Ni roho mbaya tu, wivu, chuki na husuda.
Naam! Ukienda nje huko kapambane kivyako na kaa mbali na Wabongo kama unataka kupiga hatua. Sad! 🚮