Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Na mimi na mashaka nao π€£Nina wasiwasi na ukaazi wa Kiranga, USA
Hahahaha.... Labda Kiranga ndiye tajiri tu mkuu wengine wote hohehaheNina wasiwasi na ukaazi wa Kiranga, USA
Maana yake wa Kenya ni wengi na wana ukwasi wa kutosha ndio maanaHiyo Eastern Africa hapo unahakika hatujajumlishiwa humo. Na Kenya kwanini hawajawekwa ndani ya Eastern Africa! source ya data inaweza kuwa ya uongo
Wanabeba box mzee, pesa zote zinaishia kwenye bills.Hahahaha.... Labda Kiranga ndiye tajiri tu mkuu wengine wote hohehahe
Tajir ni kilanga peke yake huko majuu wengine wote ni drivers taxiNina wasiwasi na ukaazi wa Kiranga, USA
Watanzania rudini tu nyumbani bado kuna ardhi ya kutoshaWakati Majirani zetu Kenya wakishika namba 2 sisi Tanzania hatupo kwenye list
kabisa.
Wakina Kiranga, Bufa na wengine vipi vyuma vimekaza huko sio π π€£π
View attachment 3222630
Sawa tajir lakin wahuni wanadai rudi nyumban tu kabla hujafurushwaKumbe wewe nae kiazi , wakati babu yako anachambia gunzi, babu yangu alishakuwa tajiri kitambo kwa hiyo habari za utajiri sio ngeni sana masikioni mwangu mkuu .
Connection ya kwanza ilitakiwa ipatikane kwa wazazi, ndugu zako waliokuzunguka , ukiona wao wamefeli usishangae wengine kufeli kukupatia.Watanzania wachoyo hawakupi connection wanahis wakikupa utawapita maendeleo
Wapi nilikuambia sipo nyumbani?Sawa tajir lakin wahuni wanadai rudi nyumban tu kabla hujafurushwa
Sio wote mkuu wazazi wao wapo na vyeo au walikuwa na connection wengine wao wanataka kufungua njia kwenye familia zaoConnection ya kwanza ilitakiwa ipatikane kwa wazazi, ndugu zako waliokuzunguka , ukiona wao wamefeli usishangae wengine kufeli kukupatia.
Waje washike jembe sioWatanzania rudini tu nyumbani bado kuna ardhi ya kutosha