Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
-
- #21
Hii mbaya sana na ndio maana Tanzania ina diaspora wachache tofauti naWatanzania wachoyo hawakupi connection wanahis wakikupa utawapita maendeleo
Chunguza vizuri kwanza ukienda kichwa kichwa unapigwa na za uso na wtz hao haoHii mbaya sana na ndio maana Tanzania ina diaspora wachache tofauti na
Kenya, Nigeria na South Africa
U see... U see U see You People... I toldyaa....I am wintering in Turks and Caicos.
Wabongo wengi tu wanatoa elimu youtube hata wakenya wengi connection zao wanapatia humo youtube na hata watu wa kuwa host , vijana wanafuautilia zari ana makalio makubwa mda wote watajulia wap haya?Sio wote mkuu wazazi wao wapo na vyeo au walikuwa na connection wengine wao wanataka kufungua njia kwenye familia zao
Hawana undugu sio...wana kufanya fursa.Chunguza vizuri kwanza ukienda kichwa kichwa unapigwa na za uso na wtz hao hao
Watajua wemyewe wanaotaka kutoka njeeWabongo wengi tu wanatoa elimu youtube hata wakenya wengi connection zao wanapatia humo youtube na hata watu wa kuwa host , vijana wanafuautilia zari ana makalio makubwa mda wote watajulia wap haya?
Ndio wengi nasikia wanalalqmikaHawana undugu sio...wakufanya fursa.
Kwa hiyo tatizo ni Wabongo hawajui kuchangamkia fursa sioWabongo wengi tu wanatoa elimu youtube hata wakenya wengi connection zao wanapatia humo youtube na hata watu wa kuwa host , vijana wanafuautilia zari ana makalio makubwa mda wote watajulia wap haya?
Wajifunze kusapo kwa Wanaija na Wakenya kwa kupeana support.Ndio wengi nasikia wanalalqmika
Watajua wenyewe kama hawajiongeziWajifunze kusapo kwa Wanaija na Wakenya kwa kupeana support.
Bora wabeba box mara mia kuliko wanaoshinda vijiweni wanacheza draft.Wanabeba box mzee, pesa zote zinaishia kwenye bills.
Mbeba box anaejua kupangilia bajeti na nakusave ni bora kuliko daktari wa MD bongo wap wanaweza lipa dollars 19 kwa saa?Bora wabeba box mara mia kuliko wanaoshinda vijiweni wanacheza draft.
Kaka kumbe u mkali hvi๐๐๐๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃKumbe wewe nae kiazi , wakati babu yako anachambia gunzi, babu yangu alishakuwa tajiri kitambo kwa hiyo habari za utajiri sio ngeni sana masikioni mwangu mkuu .
Anazingua huyo jamaa sijui kawaza kitu gani kunihusisha kwenye habari zake ๐Kaka kumbe u mkali hvi๐๐๐๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ni kweli mkuu hao washinda vijiweni ni hivyo kabisa.Bora wabeba box mara mia kuliko wanaoshinda vijiweni wanacheza draft.
Akilipa bills na mahitaji mengine huko anaeza ku save kiasi gani kwa mwezi?Mbeba box anaejua kupangilia bajeti na nakusave ni bora kuliko daktari wa MD bongo wap wanaweza lipa dollars 19 kwa saa?
Huu uzi ni wa kuwapa changamoto wapambane zaidi huko.Hakuna mtu mwenye roho mbaya kama Mtanzania aisee. Hata hapa tu unaweza kuona. Watu wamefurahi balaa kwa vile Watanzania hawajatajwa kuwa wanafanya vizuri kiuchumi huko US kuliko pengine Wakenya au Waafrika Kusini. Hata kwenye ule uzi wa illegal immigrants wa Kitanzania kuwa deported watu walikuwa wamefurahi balaa utafikiri hao wenzao wakiwa deported kurudi nyumbani wao inawasaidia kwa cho chote. Ni roho mbaya tu, wivu, chuki na husuda.
Naam! Ukienda nje huko kapambane kivyako na kaa mbali na Wabongo kama unataka kupiga hatua. Sad! ๐ฎ