List ya nyimbo 10 za Alikiba na Diamond zenye views nyingi YouTube

List ya nyimbo 10 za Alikiba na Diamond zenye views nyingi YouTube

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki.

1. Yope Remix : +236M
2. Waah : +163M
3. Inama : +141M
4. Jeje : +102M
5. Nana : +100M

6. African Beauty : +86M
7. Marry You : +71M
8. Sikomi : +69M
9. Yatapita : +55M
10. Number One Remix : +54M

Na kumi (10) Alikiba

1. Mwana 36M
2. Mahaba 32M
3. Utu 28M
4. Nagharamia 18M
5. Seduce Me 16M

6. Aje 13M
7. Jealous 11M
8. Huku 11M
9. Ndombolo 10M
10. Cheketua 10M

#MvanoMusic
#MvanoMtangazaji
#M32

Je nani ni Qonk
 
Je nani ni mwamba kati ya hawa
1727548593865.jpg
 
Diamond hapa Tanzania katika muziki hana mpinzani na sio Tz tu East Africa nzima.

Ukisema number one artist ni diamond .

Alikiba ni namba mbili Tanzania

Ukiachana na muziki diamond yupo na Power ya kumfanya kila aliyemzunguka kutoboa iwe camera man , Dj wake , designer wake n.k
 
Jamaa anatisha
 
Ko unaamini ubora wa msanii ni takwimu ???
Sasa wewe ubora wa msanii utampima katika nini? Moja ni takwimu hapa takwimu tunaangalia nyimbo,tuzo mashabik na mafanikio.
Au nyie ndio wale waliowapa vichwa wasanii wetu wa zamani kuwa ni wakali huku wanagongea fegi na buku ya wali maharage?? Kila msanii anahitaji mafanikio na sio blah blah
 
Hivi kati ya Mario na vannyboy Nan mkali
 
Back
Top Bottom