List ya nyimbo 10 za Alikiba na Diamond zenye views nyingi YouTube

List ya nyimbo 10 za Alikiba na Diamond zenye views nyingi YouTube

Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki.

1. Yope Remix : +236M
2. Waah : +163M
3. Inama : +141M
4. Jeje : +102M
5. Nana : +100M

6. African Beauty : +86M
7. Marry You : +71M
8. Sikomi : +69M
9. Yatapita : +55M
10. Number One Remix : +54M

Na kumi (10) Alikiba

1. Mwana 36M
2. Mahaba 32M
3. Utu 28M
4. Nagharamia 18M
5. Seduce Me 16M

6. Aje 13M
7. Jealous 11M
8. Huku 11M
9. Ndombolo 10M
10. Cheketua 10M

#MvanoMusic
#MvanoMtangazaji
#M32

Je nani ni Qonk
It doesn’t matter

Mmoja kaliwa na pdidy
 
Ko nyimbo ya kumi ya Daimondi imeizidi views nyimbo ya kwanza ya Ali kiba😁
Jamaa kaachwa aisee
 
Diamond hapa Tanzania katika muziki hana mpinzani na sio Tz tu East Africa nzima.

Ukisema number one artist ni diamond .

Alikiba ni namba mbili Tanzania

Ukiachana na muziki diamond yupo na Power ya kumfanya kila aliyemzunguka kutoboa iwe camera man , Dj wake , designer wake n.k
West Africa ndo imempaisha.
 
Back
Top Bottom