Jamaa anatishaDiamond hapa Tanzania katika muziki hana mpinzani na sio Tz tu East Africa nzima.
Ukisema number one artist ni diamond .
Alikiba ni namba mbili Tanzania
Ukiachana na muziki diamond yupo na Power ya kumfanya kila aliyemzunguka kutoboa iwe camera man , Dj wake , designer wake n.k
Numbers don't lieKo unaamini ubora wa msanii ni takwimu ???
Sasa wewe ubora wa msanii utampima katika nini? Moja ni takwimu hapa takwimu tunaangalia nyimbo,tuzo mashabik na mafanikio.Ko unaamini ubora wa msanii ni takwimu ???
Hivi kati ya Mario na vannyboy Nan mkaliSasa wewe ubora wa msanii utampima katika nini? Moja ni takwimu hapa takwimu tunaangalia nyimbo,tuzo mashabik na mafanikio.
Au nyie ndio wale waliowapa vichwa wasanii wetu wa zamani kuwa ni wakali huku wanagongea fegi na buku ya wali maharage?? Kila msanii anahitaji mafanikio na sio blah blah
Mkali kwenye nini?Hivi kati ya Mario na vannyboy Nan mkali