List ya nyimbo bomba zilizotoka ndani ya miezi sita mwaka huu

Kinanda kaitendea haki Aiseee na kuna ile remix yake kaifanya ni wasouth ni balaa pia
 
Kinanda ya mesen..hizo nyingine bado hujanishawishi
 
Namba 1 ndo kiboko yao. Hauchoshi Salute kwake Mo'ndii
Namba 2 ndio balaa sasa "" sema tu jamaa ameshindwa kuji brand ..but kiukweli tangu mwaka uanze kibongo bongo "" hakuna hit song kama hiyo
 
Kinanda kaitendea haki Aiseee na kuna ile remix yake kaifanya ni wasouth ni balaa pia
daaahh hiyo remix ngoja niitafute "",,, ila Kinanda ni bonge la nyimbo "" mwaka huu kibongo bongo hakuna kama hiyo labda kama atatokea msanii mwingine atakaye Fanya vyema
 
Namba 2 ndio balaa sasa "" sema tu jamaa ameshindwa kuji brand ..but kiukweli tangu mwaka uanze kibongo bongo "" hakuna hit song kama hiyo
Naungana nawe kinanda ni bonge la nyimbo hasa sema ndo ivo tena huyupo tem ya ushindi
 
Naungana nawe kinanda ni bonge la nyimbo hasa sema ndo ivo tena huyupo tem ya ushindi
yaani acha tu ""... naielewa sana ile nyimbo ..production Yke sio ya taifa hili
 
Goroka..jay melody
Nakuelewa..maua sama
Dar kugumu..mario
Namwaga mboga..jay melody
Hauzimi..benson
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…