Songa Heri
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,724
- 1,873
Kinanda kaitendea haki Aiseee na kuna ile remix yake kaifanya ni wasouth ni balaa pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh,kicha tena mkuu.pale kwenye kicha cha habari ongezea kwa upande wangu
S O C O ni balaa pamoja na KWANGWALUUUUsoco is the best
Namba 2 ndio balaa sasa "" sema tu jamaa ameshindwa kuji brand ..but kiukweli tangu mwaka uanze kibongo bongo "" hakuna hit song kama hiyoNamba 1 ndo kiboko yao. Hauchoshi Salute kwake Mo'ndii
hiyo ndio balaaa kabisaThis is America[emoji445] [emoji445] [emoji445] by Childish Gambino
Kibongo bongo kinanda haina mpinzani ...hzo nyingine promo tu ..na kujuanaKinanda ya mesen..hizo nyingine bado hujanishawishi
daaahh hiyo remix ngoja niitafute "",,, ila Kinanda ni bonge la nyimbo "" mwaka huu kibongo bongo hakuna kama hiyo labda kama atatokea msanii mwingine atakaye Fanya vyemaKinanda kaitendea haki Aiseee na kuna ile remix yake kaifanya ni wasouth ni balaa pia
yaani acha tu ""... naielewa sana ile nyimbo ..production Yke sio ya taifa hiliNaungana nawe kinanda ni bonge la nyimbo hasa sema ndo ivo tena huyupo tem ya ushindi
Naona umeamua kuchagua wasanii wote wa ruge (THT)Goroka..jay melody
Nakuelewa..maua sama
Dar kugumu..mario
Namwaga mboga..jay melody
Hauzimi..benson