List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

Nyie [emoji4]

Nahitaji kuwajua wasichana wote mlokuwa "single" humu Jf

Kama upo single, comment kwenye huu uzi.

Kuna Project kubwa inakuja humu. Sawa???..
Sasa wew ole wako uwe single alaf hutak kuweka wazi, tusije kulaumiana huko mbele ya safari

NB; na hzo PM zenu mziweke ziwe wazi..
Hakuna PM ya wazi ...
 
Mtoa mada labda tuseme walio single waje PM watapatikana watu hapa wanaona kama kujichoresha


Haya wenye sifa alizotaja mtoa uzi karibu PM kwangu na mm nifurahie kutembelewa PM
 
Back
Top Bottom