Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
basi kama haugawi hela hakuna single lady hapaAh mbon mie hata sio mtot wa Bakhresa[emoji56]
Huenda bado ni project mkuu maana hatuoni ndoa mpaka sasaHata Zari na Mond ilianza kama project!
Hata mimi naomba niPMiewe jamaniMtoa mada labda tuseme walio single waje PM watapatikana watu hapa wanaona kama kujichoresha
Haya wenye sifa alizotaja mtoa uzi karibu PM kwangu na mm nifurahie kutembelewa PM
Limekukwaza kivipi tena kiongozi?Hili jibu limenikwaza
Umeamua kua single au ni kwa vile huoni mwenye vigezo vyako?Single
MhLimekukwaza kivipi tena kiongozi?
Umetongozeka nn mkuu ?Hili tongozo la kimataifa
Kwani wametaka tueleze kwa nini tuko single?Umeamua kua single au ni kwa vile huoni mwenye vigezo vyako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]we dada usiidhurum nafs yko bure, maisha yenyew ndo hay haya 2.. Haupo single Mung anakuona lkn,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106]basi kama haugawi hela hakuna single lady hapa