List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

hahhahah si wanataniana kwani kweli halaf nilijua tu utauliza kuhusu bamdogo
mwenyewe nimeshangaa naitwa mamdogo inabidi niendelee tu kuitikia
Tangu lini baba yako mdogo akatania!!
Mi mwenyewe nimejikuta dada wa damu ghafla, kweli baba yako mdogo sio mtu wa mchezo mchezo, sasa huu undugu si ni mkanganyiko tosha!! Ukute Husna ni shangazi yake.
 
hahahha espy hurumia mbavu zangu hahhahah kwahiyo na ww umejikuta kama mm tu
husna kakubaliana na matokeo hana la kufanya aliyempenda kachukuliwa

hivi bamdogo analelewa au ni mapenzi tu yamempeleka
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba ake mdogo shunie sio Wa kispotispoti

Mie niwe Shangazi tena duuuuu
 
Tangu lini baba yako mdogo akatania!!
Mi mwenyewe nimejikuta dada wa damu ghafla, kweli baba yako mdogo sio mtu wa mchezo mchezo, sasa huu undugu si ni mkanganyiko tosha!! Ukute Husna ni shangazi yake.
Sister acha zako njoo kwenye interview huku
 
hahahha espy hurumia mbavu zangu hahhahah kwahiyo na ww umejikuta kama mm tu
husna kakubaliana na matokeo hana la kufanya aliyempenda kachukuliwa

hivi bamdogo analelewa au ni mapenzi tu yamempeleka
Mamdogo na ndevu zangu kweli mimi wa kulelewa? ??
 
Huyu naye yumo kwenye list ya single girls wa jf
IMG-20161028-WA0012.jpeg
 
Back
Top Bottom