List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

List ya "Single Girls" ndani Ya Jf..

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba ake mdogo shunie sio Wa kispotispoti

Mie niwe Shangazi tena duuuuu
ahhahahhahh hakuna namna husna unakoelekea utakua shangazi
 
hahahha espy hurumia mbavu zangu hahhahah kwahiyo na ww umejikuta kama mm tu
husna kakubaliana na matokeo hana la kufanya aliyempenda kachukuliwa

hivi bamdogo analelewa au ni mapenzi tu yamempeleka
Thubutuuu!! Mapenzi my foot!! Tena kahamia hukohuko, eti ananiambia nikishindwana na mume wangu niende tu kwake(alikohamia) sasa nikajiuliza si tutakuwa tumeolewa wote mtu na kaka yake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] baba ake mdogo shunie sio Wa kispotispoti

Mie niwe Shangazi tena duuuuu
Yaani bora tu ulijiengua maana ugonjwa wa bandama ungekuhusu soon. Sasa kama wote tumepewa nafasi ya udungu nahisi nawe utakuwa umepewa tu nafasi yako.
 
Back
Top Bottom