List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

Pumbavu zao sana. Tanzania hii unaongelea watu wenye nguvu za ushawishi unawezaje kumuacha Maxence Melo ?
Hao wote waliowekwa hapa wanajulikana tu kwa nature ya kazi na mazingira yao lakini hawana nguvu yoyote ile kiushawishi. Watu wanapenda muziki siyo wao waliowafanya watu wapende muziki. Wanatoa habari, so wanawahabarisha tu watu mambo yanayoendelea duniani kama yalivyo hiyo haimaanishi kwamba hiyo ni nguvu ya ushawishi.
List ya kipumbavu kabisa. Yupo wapi Baloteli (Afande Kiwi) hapo? Yule mwanajeshi mrefu mweusi wa kwenye gwaride la Kimya kimya? Yupo wapi yule afande wa kike mweupe anayeongoza gwaride la kimya kimya? Yupo wapi Malisa Godlisten ? Yupo wapi Joseph Mbilinyi (Sugu), yupo wapi Edo Kumwembe? Yupo wapi Baby Kabae (Sister Dre)? Yupo wapi Mange Kimambi? Yupo wapi John Mongela? Kuna wenye fake IDs kama vile Malcom Lumumba The bold mshana jr ONTARIO Nguruvi3 AshaDii (Labda sababu ya fake IDs tunaweza tusiwe na uhakika wa umri wao, tuwaache hao).
Kuna vijana wengi sana wameachwa hapo. Waliopo kwenye hiyo list mimi naona ni either maarufu tu au waliofanikiwa kwenye mambo lakini si wenye Ushawishi.
 
Labda kabla ya kukosoa hii list tungepewa kwanza definition ya 'ushawishi', pengine si hatuielewi vizuri
 
Hii list nina wasiwasi kuna mtu ame....... So anataka kutuambia hao wote....

Ndio maana list ya kina dada ni chini ya 15.

Anyway kama ni competitive bidding, kuna biasness kubwa sana
 
hawana ushawishi wowote mnapenda kuwatukuza sana wa tz bwana ushawishi gani labda wanakushawishi wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…