Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushawishi nini? Tupe dondoo zao kidogo? E.g. no17 na 10?hao wte hamna kitu sasa hv anayeongoza sasa hv ni lemutuz
Ndo ushawishi huo et?Msikariri
Yusuph
Ana hisa kwenye kampuni za SSB, OPL na Azam zote
Sijui ni avatar ndo inanidanganya kila nikikumbuka huyo sio wewe ila bado tu najisahau....nafikiri umenielewa mtu Mimi.List isiyo na Mange Kimambi haijakamilika.....
wewe utakuwa ni shitholeUshawishi nini? Tupe dondoo zao kidogo? E.g. no17 na 10?
We nyau, hapo nilikua namjibu kuhusu maliNdo ushawishi huo et?
Consigliere naomba nomination niwepo kwenye list pls.. Huyo kwenye avatar ni mimi na jina ni langu... Umoja ni nguvu tufanye jitihada na JF tupate wa kwetu kwenye hiyo list[emoji144] [emoji144] [emoji144]Pumnavu zao sana. Tanzania hii unaongelea watu wenye nguvu za ushawishi unawezaje kumuacha Maxence Melo ?
Hao wote waliowekwa hapa wanajulikana tu kwa nature ya kazi na mazingira yao lakini hawana nguvu yoyote ile kiushawishi. Watu wanapenda muziki siyo wao waliowafanya watu wapende muziki. Wanatoa habari, so wanawahabarisha tu watu mambo yanayoendelea duniani kama yalivyo hiyo haimaanishi kwamba hiyo ni nguvu ya ushawishi.
List ya kipumbavu kabisa. Yupo wapi Baloteli (Afande Kiwi) hapo? Yule mwanajeshi mrefu mweusi wa keenye gwaride la Kimya kimya? Yupo wapi yule afande wa kike mweupe anayeongoza gwaride la kimya kimya? Yupo wapi Malisa Godlisten ? Yupo wapi Joseph Mbilinyi (Sugu), yupo wapi Edo Kumwembe? Yupo wapi Baby Kanae (Sister Dre)? Yupo wapi Mange Kimambi? Yupo wapi John Mongela? **** wenye fake IDs kama vile Malcom Lumumba The bold mshana jr ONTARIO Nguruvi3 (Labda sababu ya fake IDs tunaweza tusiwe na uhakika wa umri wao, tuwaache hao).
Kuna vijana wengi sana wameachwa hapo, waliopo kwenye hiyo list mimi maona ni either maarufu tu au waliifanikiwa lakini si wenye Ushawishi.
Miau miau haya bwanaWe nyau, hapo nilikua namjibu kuhusu mali