List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

Katika watu wote 50 hakuna mwenye ushawishi hata kwa mtoto wangu tu..!

Anadai ana Ndoto ya kuwa Mwanajeshi.
 
Yusuph Bakhresa hajulikani na hata ukikutana nae humjui wala haonekani wala kusikika kwa TV na radio... Iweje anishawishi?
Walitumia vigezo gani kupata hao watu?
 
Hawamo :
Mkandamizaji
Bashite mKolomije
Le mbebez le mbuziz le kabamiaz
Zembwela mswazi
Mtatiro etc halafu eti kina kaseja?
 
FAKE
FAKE
FAKE
FAKE
FAKE
FAKE
FAKE
FAKE
FAKE
 
Eti yusuf bakhresa no 4!umekunywa,chai ya maziwa yake,chapati na maandazi yake,ugali mchana wake,maji ya kunywa yake,Azam Tv yake unamuweka juu millard ayo kwa online tv tu
 
Hizi list za kupeana mileage kwenye CV waombee pesa za miradi.
 
Back
Top Bottom