Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwel mkuu riyama n kaseja wanamshawishi nanhao wte hamna kitu sasa hv anayeongoza sasa hv ni lemutuz
Hata Muhidini Issa Michuzi hayupo basi hii ni Bongo bahati mbayaKama hayupo JamiiForums Founder Maxence Melo basi haina ushawishi wowote!
Ni list yenye ushawishi kwa watu walioindaa. ...
Wasingeweka vijana. Mahana mule wote wamezidi umri was ujana. Kama Joti, kibatala ni vijana au?Fatma Karume ni kijana?
Na alitakiwa awe namba wani..Kama hayupo JamiiForums Founder Maxence Melo basi haina ushawishi wowote! Ni list yenye ushawishi kwa watu walioindaa. ...
Hata mimi niliwaza hili.Hapa kuna walakini, hii inaondoa credibility ya hiyo list.Kumbe Ian Ferrao ni Mtanzania....thats 1 of the reasons yakuoneshe how unserious hawa watu walivo...
Ypo ×Kama makonda ypo imeandaliwa lumumba
Acha ujinga wewe. Chanzo ni hela ya baba yake. Hata kutumia akili kidogo unashindwa.Msikariri
Yusuph
Ana hisa kwenye kampuni za SSB, OPL na Azam zote
Sasa kinachokuuma nini kama za baba yakeAcha ujinga wewe. Chanzo ni hela ya baba yake. Hata kutumia akili kidogo unashindwa.