List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

List ya vijana 50 wenye ushawishi yatolewa: Wapo Samatta, Kibatala, Millard Ayo, Ali Kiba, Msando

Nafikiri wana ushawishi kwa aliyeandaa list,
 
List isiyo na Mange Kimambi haijakamilika.....
 
hivi kweli millard ayo ana ushawishi gani? au maana ya ushawishi labda sijaielewa vizuri.
 
mimi naona mtu mwenye ushawishi ni mange kimabi. wengine hapo kwenye list ni wapuuzi watupu. kwanza wengi hata siwafahamu. sasa hata sijui wanatolea wapi huo ushawishi.
 
List isiyo na Mange Kimambi haijakamilika.....
Sijui ni avatar ndo inanidanganya kila nikikumbuka huyo sio wewe ila bado tu najisahau....nafikiri umenielewa mtu Mimi.
 
Nachojua ni kwamba Wa tz hatujawahi kua serious katika tunayofanya .. Et idriss
 
Mbona hata mimi sijaona jina langu!? Not interest.
 
Anavohurumiwa huyu Kijana ili kushindana na yule mwingine ni hatari sana, wanaomhurumia ktk kuonesha huruma yao kwake siku moja wachangane hata kabilioni kamoja tu ili wamnunulie kageto kisha wampaishe na yeye kanunua geto...
 
Pumnavu zao sana. Tanzania hii unaongelea watu wenye nguvu za ushawishi unawezaje kumuacha Maxence Melo ?
Hao wote waliowekwa hapa wanajulikana tu kwa nature ya kazi na mazingira yao lakini hawana nguvu yoyote ile kiushawishi. Watu wanapenda muziki siyo wao waliowafanya watu wapende muziki. Wanatoa habari, so wanawahabarisha tu watu mambo yanayoendelea duniani kama yalivyo hiyo haimaanishi kwamba hiyo ni nguvu ya ushawishi.
List ya kipumbavu kabisa. Yupo wapi Baloteli (Afande Kiwi) hapo? Yule mwanajeshi mrefu mweusi wa keenye gwaride la Kimya kimya? Yupo wapi yule afande wa kike mweupe anayeongoza gwaride la kimya kimya? Yupo wapi Malisa Godlisten ? Yupo wapi Joseph Mbilinyi (Sugu), yupo wapi Edo Kumwembe? Yupo wapi Baby Kanae (Sister Dre)? Yupo wapi Mange Kimambi? Yupo wapi John Mongela? **** wenye fake IDs kama vile Malcom Lumumba The bold mshana jr ONTARIO Nguruvi3 (Labda sababu ya fake IDs tunaweza tusiwe na uhakika wa umri wao, tuwaache hao).
Kuna vijana wengi sana wameachwa hapo, waliopo kwenye hiyo list mimi maona ni either maarufu tu au waliifanikiwa lakini si wenye Ushawishi.
Consigliere naomba nomination niwepo kwenye list pls.. Huyo kwenye avatar ni mimi na jina ni langu... Umoja ni nguvu tufanye jitihada na JF tupate wa kwetu kwenye hiyo list[emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Back
Top Bottom