List ya vinywaji vya bar

List ya vinywaji vya bar

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Habari za wakati huu wana jf.
Leo nimeamka na wazo la kufungua pub.
Na safari yangu ndio inaanza kama ifuatavyo.

Kwa wale wazoefu ningeomba mnisaidie list ya vinywaji vyote vinavyotakiwa kwaajili ya kuanzisha au kifungua biashara ya pub ambayo ni classic kabisa kwa maeneo ya sinza au tabata.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Hebu Kaa siku 7 na hili wazo.
Na kama Liko bado kichwani , bas lifanyie kazi.

Kujua List ya Vinywaji mm naona sio Muhimu sana kwa sasahivi .
Muhimu kujua je ni wazo sahihi kwako na umejiandaa vya kutosha?.

Kila la kheri, hebu Tuongezee Bar Sinza tuje tunywe.
List ianzie hapa:-
1. Castle lite
 
[emoji119][emoji119][emoji119]!
Labda hawa jamaa ila hizo "ice" nawaachia mabrazamen.
smirnoff_vodka_1024x1024%402x.jpeg
images-154.jpeg
 
Back
Top Bottom