Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Wengine ni wacheza vidukuKatika soka kuna wachezaji wamebarikiwa sana vipaji vya aina yake. Kuna baadhi yao kwa vipaji hivyo wamekuwa ni wenye kujisifu na kuleta dharau kwa wenzao.
Leo tuwatambue wenye vipaji vikubwa na vya kawaida lakini daima wamekuwa ni wajivuni, wenye kebehi na dharau kwa wenzao.
Mimi naanza na hawa wawili...
1. Zlatan Ibrahimovich
2. Abdoul Halim Humud
1. Ibrahimovic
2. Baloteli
3. Diego Costa
4. Humudi
Lord Bendtner
Mimi nafikiri hakuna kama Zlatan hasa linapokuja suala la kujisifu, dharau na nyodo.