List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

Apo wangeachwa Ustaz Lukaku alkua anamnyonyoa nywele dada zlatan
IMG-20210127-WA0004.jpg
 
Katika soka kuna wachezaji wamebarikiwa sana vipaji vya aina yake. Kuna baadhi yao kwa vipaji hivyo wamekuwa ni wenye kujisifu na kuleta dharau kwa wenzao.

Leo tuwatambue wenye vipaji vikubwa na vya kawaida lakini daima wamekuwa ni wajivuni, wenye kebehi na dharau kwa wenzao.

Mimi naanza na hawa wawili...
1. Zlatan Ibrahimovich

2. Abdoul Halim Humud
Huyo mzanzibar yupo wapi kwa Sasa......
 
Back
Top Bottom