List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

List ya Wachezaji wenye Majivuno na Dharau

Bora nikauze nyanya na vitunguu kuliko kucheza klabu ya Simba.
Huyo aliwahi mpiga viatu Didier Drogba na wenzake na bado alipohojiwa na mwandishi akasema huyo Drogba si kitu na hana lolote ila kabahatika tu kupenya mapema huko ulaya
 
Wachezaji wote Wa Misri wanapokuja kucheza Na timu za Afrika Mashariki na kati
 
Back
Top Bottom