Wamepitia kwaya za kanisaniunamaanisha kuwa wanamziki waislam wana vocal nzuri, ila kuna wanamziki wakristo pia ambao wana sauti nzuri.
We jamaa mdini sana.@Invicible futeni Uzi huutumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.Rich Makovo
2.Barnabas
3.Linex
4.Rayvanny
5.Jaydee
6.Marlaw
7.Walter Chilambo
8.Mez B (rip)
9.K Basil
10.Vanessa Mdee
Wewe jamaa bhana kazi unayo vipitumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.Rich Makovo
2.Barnabas
3.Linex
4.Rayvanny
5.Jaydee
6.Marlaw
7.Walter Chilambo
8.Mez B (rip)
9.K Basil
10.Vanessa Mdee
Hawana makuutumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.Rich Makovo
2.Barnabas
3.Linex
4.Rayvanny
5.Jaydee
6.Marlaw
7.Walter Chilambo
8.Mez B (rip)
9.K Basil
10.Vanessa Mdee
TID ,hana wa compare nae bongo,1.alikiba
2.q-chief
3.TID
4.Matonya
5.MB dog
6.tunda man
Hao juu wote walipitiaWewe jamaa bhana kazi unayo vipi
Diamond
Nandy
Ruby
Aslay
Walipitia madrasa?
Na je ulidhamiria wa bongo flavor tu vipi kuhusu hawa wa gospel
Walter chilambo
Mwaitege
Mwansasu
Joel Lwaga
Nk?
Okay ulidhamiria wa Tz pekee vipi akina
Ne-yo
John legend
Chris brown etal?