List ya wanamuziki ambapo hawakupikwa madrasa na wanasauti tamu

tumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.Rich Makovo
2.Barnabas
3.Linex
4.Rayvanny
5.Jaydee
6.Marlaw
7.Walter Chilambo
8.Mez B (rip)
9.K Basil
10.Vanessa Mdee
We jamaa mdini sana.@Invicible futeni Uzi huu
 
tumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi mungu tu amewajalia sauti nyororo bila kupitia huko
1.Rich Makovo
2.Barnabas
3.Linex
4.Rayvanny
5.Jaydee
6.Marlaw
7.Walter Chilambo
8.Mez B (rip)
9.K Basil
10.Vanessa Mdee
Wewe jamaa bhana kazi unayo vipi
Diamond
Nandy
Ruby
Aslay
Walipitia madrasa?

Na je ulidhamiria wa bongo flavor tu vipi kuhusu hawa wa gospel
Walter chilambo
Mwaitege
Mwansasu
Joel Lwaga
Nk?

Okay ulidhamiria wa Tz pekee vipi akina
Ne-yo
John legend
Chris brown etal?
 
Hawana makuu
 
Wasanii wenye sauti tamu ambao hawajawahi nikera kabisa yani ni
1.ruby
2.gigy money the bad girl
 
Wewe jamaa bhana kazi unayo vipi
Diamond
Nandy
Ruby
Aslay
Walipitia madrasa?

Na je ulidhamiria wa bongo flavor tu vipi kuhusu hawa wa gospel
Walter chilambo
Mwaitege
Mwansasu
Joel Lwaga
Nk?

Okay ulidhamiria wa Tz pekee vipi akina
Ne-yo
John legend
Chris brown etal?
Hao juu wote walipitia
 
Back
Top Bottom